Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Sasa ni biashara ya udalali wa gas kwanza, bwawa la stigglers ni baadae sana!
Angefufuka Mwendazake leo kuna watu angewatafuna nyama:mad:
 
Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Sasa mbona hali ilikuwa shwari,kaingia kila kitu kinaenda mrama,ni lini hali itakuwa sawa,wewe na Makamba ni wachawi tu
 
Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Muda gani apewe ikiwa shida ya umeme haitibiki na ana miaka miwili sasa?
 
Back
Top Bottom