Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,188
- 1,912
Labda mwilini mwako!Kwanza ugonjwa huo haupo magazetini. Umo mwilini mwa watu..
Uliutoa wapi huo ugonjwa?
Mbona wenzako wote hawaumwi? Au we mchawi?
Labda mwilini mwako!Kwanza ugonjwa huo haupo magazetini. Umo mwilini mwa watu..
Unashukuru kudungwa sumu?Binafsi nashukuru nimeweza kupata chanjo.