Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,040
Yaani watz sijui shida nini,instead ya kutetea maslahi ya wananchi kazi ni kutukanana mara mataga mara sukuma gang hivi mnapata nini?
Upinzani mnatafuta upenyo mama ajichanganye muingie Ikulu,mnaonekana tu,nia yenu sio maendeleo bali ni Ikulu mkale bata.
Wananchi washawashtukia endeleeni na sera zenu za sukuma gang bila kujua wasukuma wako hata cdm,kwa hiyo mkichukua madaraka mtawafukuza?

Mko na ukabila sana.