warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,378
Usimtishe Rais SSH kwa sababu ya umati uliokuja kumuaga hiyo ni sababu dhaifu Sana.
Watu mtaani kwenda kuaga maiti ya marehemu ni mila za Kiafrika. Hapa Dar hata Marehemu Stephen Kanumba naye alifunga mtaa kwenye msiba wake.
Hata Ruge Mutahaba naye alifunga nyomi.
Kwa taarifa yako Rais SSH anakubalika kwa 80+% kwa namna tu anavyosimamia Utawala wa Sheria, Uhuru wa kujieleza, na namna anavyotaka kuboresha uchumi.
Nchi tayari imeponywa, na wala usimhusishe kabisa na yule Shetani wa Chato. Tuko na maisha mapya na mtazamo mpya, hakuna watu kuuliwa, kutekwa na kunyang'anywa fedha zao
Huyo hiyo shetani alifanya dunia ituheshimu