Rais Samia 'Taifa Stars' yako ikifuzu 2022 FIFA QATAR WORLD CUP kama unavyodanganywa na Wateule wako Waandamizi ninyang'anye Uraia na nifukuze nchini

Baada ya kuona Timu yetu ya Tanzania ( Taifa Stars ) sasa inaanza kuwa ni ya Kisiasa badala ya Kiuhalisia KEROZENE naziombea Ushindi mnono Timu za Taifa za Congo DR na Madagascar na Inshallah naamini zote zitatufunga ili tuendelee kubaki na Ndoto zetu na tabia zetu za Kupenda Kunenepesha Ng'ombe Siku za Mnada tu.
Yaani we ni snitch hatari.

Bora wakupore huo uraia hata kwa dakika hii
 
Watanzania mnanishangaza sana hasa nikiwasikia Vijiweni na mnavyodanganywa na Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kuwa Tanzania kupitia Taifa Stars itafuzu Kombe la Dunia kwa Alhamisi kumfunga Congo DR na Jumapili kumfunga Madagascar.

Kama Wachezaji wao Wawili tu wanaotamba Tanzania na kila Siku tunawaimba akina Yanick Bangala na Fiston Mayele hawajulikani Kikosini na hata Namba hawana hamjiulizi tu hao waliopo ( walioitwa ) ndiyo balaa zaidi na wanaenda Kutuumbua kwa Kutufunga Alhamisi pamoja na kwamba tumetenga Tsh 1.4 Bilioni ( ambapo humo humo ) hata ya Kumhonga Mwamuzi / Refa na Wasaidizi wake imetengwa?

Tanzania mpaka hivi sasa tunajivunia Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje Watatu tu Mbwana Samatta, Simon Msuva na Novatus Dismas wakati Congo DR ina Wachezaji zaidi ya 83 wanaocheza Soka la Kulipwa na 99.9% wapo katika Msafara wa kuja Kututia Adabu Tanzania kupitia Taifa Stars yetu Keshokutwa Alhamisi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ninachojua Ushindi wa Tanzania na Taifa Stars yetu Keshokutwa ( Alhamisi ) ni Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Sare ya Suluhu ( isiyo na Magoli ) ila kwa 85% KEROZENE kwa ninavyowajua Wakongo, Uwezo wao, Mbinu na Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja wanaenda Kutufunga hapa hapa katika Ardhi yetu.

Ng'ombe hanenepeshwi Siku ya Mnada.
Bongo Jambo likishatiwa siasa ndani yake tayari nuksi. Hawajifunzi yale ya AFCON ya Egypt. Halafu moments hizi anazimiss sana DAB....anatamani sana kama bado angekua RC

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania mnanishangaza sana hasa nikiwasikia Vijiweni na mnavyodanganywa na Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kuwa Tanzania kupitia Taifa Stars itafuzu Kombe la Dunia kwa Alhamisi kumfunga Congo DR na Jumapili kumfunga Madagascar.

Kama Wachezaji wao Wawili tu wanaotamba Tanzania na kila Siku tunawaimba akina Yanick Bangala na Fiston Mayele hawajulikani Kikosini na hata Namba hawana hamjiulizi tu hao waliopo ( walioitwa ) ndiyo balaa zaidi na wanaenda Kutuumbua kwa Kutufunga Alhamisi pamoja na kwamba tumetenga Tsh 1.4 Bilioni ( ambapo humo humo ) hata ya Kumhonga Mwamuzi / Refa na Wasaidizi wake imetengwa?

Tanzania mpaka hivi sasa tunajivunia Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje Watatu tu Mbwana Samatta, Simon Msuva na Novatus Dismas wakati Congo DR ina Wachezaji zaidi ya 83 wanaocheza Soka la Kulipwa na 99.9% wapo katika Msafara wa kuja Kututia Adabu Tanzania kupitia Taifa Stars yetu Keshokutwa Alhamisi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ninachojua Ushindi wa Tanzania na Taifa Stars yetu Keshokutwa ( Alhamisi ) ni Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Sare ya Suluhu ( isiyo na Magoli ) ila kwa 85% KEROZENE kwa ninavyowajua Wakongo, Uwezo wao, Mbinu na Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja wanaenda Kutufunga hapa hapa katika Ardhi yetu.

Ng'ombe hanenepeshwi Siku ya Mnada.
Hata Mimi nafahamu kwamba kesho Tanzania inafungwa na DRC.
 
Mtunzi mkuu wa ngonjera hiyo ni dr abbas kwakushirikiana na karia ili wapige pesa abbas ni mtu hatari anatumia usanii kujitajirisha sana na bashungwa ninzoba tu pale haelewi kitu
 
Sasa wewe kwa akili hizo ukifukuzwa nchini mwako nchi gani itakupokea mtu wa aina yako?

Ushabiki wa kisiasa naona umeanza kuwapeleka pabaya,huu upuuzi uliouandika ni ujinga wa kiwango cha lami,Yes DRC wapo vizuri ila uwasilishaji wako umetawaliwa na chuki za kijinga.
 
Raisi hawezi kukunyang’anya Uraia wala kukufukuza Nchi.
Hayo maneno yatabaki kuwa laana juu yako ,watoto na wajukuu zako endepo Timu ikifuzu.

Wajukuu wataanza kutamani kuishi Nje ya nchi ujuwe laana ya maneno imeanza kuwatafuna

Kuna gharama ya kutengua hayo maneno. Usije kuwa unaandika kwa lengo la kufuraisha mashabiki ukasahau kuwa Maneno yanaumba ukajikuta unawajibika kwenye ulimwengu Mwingine
 
Watanzania mnanishangaza sana hasa nikiwasikia Vijiweni na mnavyodanganywa na Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kuwa Tanzania kupitia Taifa Stars itafuzu Kombe la Dunia kwa Alhamisi kumfunga Congo DR na Jumapili kumfunga Madagascar.

Kama Wachezaji wao Wawili tu wanaotamba Tanzania na kila Siku tunawaimba akina Yanick Bangala na Fiston Mayele hawajulikani Kikosini na hata Namba hawana hamjiulizi tu hao waliopo ( walioitwa ) ndiyo balaa zaidi na wanaenda Kutuumbua kwa Kutufunga Alhamisi pamoja na kwamba tumetenga Tsh 1.4 Bilioni ( ambapo humo humo ) hata ya Kumhonga Mwamuzi / Refa na Wasaidizi wake imetengwa?

Tanzania mpaka hivi sasa tunajivunia Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje Watatu tu Mbwana Samatta, Simon Msuva na Novatus Dismas wakati Congo DR ina Wachezaji zaidi ya 83 wanaocheza Soka la Kulipwa na 99.9% wapo katika Msafara wa kuja Kututia Adabu Tanzania kupitia Taifa Stars yetu Keshokutwa Alhamisi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ninachojua Ushindi wa Tanzania na Taifa Stars yetu Keshokutwa ( Alhamisi ) ni Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Sare ya Suluhu ( isiyo na Magoli ) ila kwa 85% KEROZENE kwa ninavyowajua Wakongo, Uwezo wao, Mbinu na Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja wanaenda Kutufunga hapa hapa katika Ardhi yetu.

Ng'ombe hanenepeshwi Siku ya Mnada.
Unoongelea congo gan? Congo DR au? Kwan mechi ya kwanza kwao walitufunga? Kwa mkapa hawez toka
 
KUPINGA KILA KITU NA MAOMBI MABAYA NDIO KAZI YA CHADOMO
 
Sasa atakunyang'anyaje Uraia hata haujaweka cheti Cha kuzaliwa na passport?
 
Back
Top Bottom