Rais Samia 'Taifa Stars' yako ikifuzu 2022 FIFA QATAR WORLD CUP kama unavyodanganywa na Wateule wako Waandamizi ninyang'anye Uraia na nifukuze nchini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Watanzania mnanishangaza sana hasa nikiwasikia Vijiweni na mnavyodanganywa na Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kuwa Tanzania kupitia Taifa Stars itafuzu Kombe la Dunia kwa Alhamisi kumfunga Congo DR na Jumapili kumfunga Madagascar.

Kama Wachezaji wao Wawili tu wanaotamba Tanzania na kila Siku tunawaimba akina Yanick Bangala na Fiston Mayele hawajulikani Kikosini na hata Namba hawana hamjiulizi tu hao waliopo ( walioitwa ) ndiyo balaa zaidi na wanaenda Kutuumbua kwa Kutufunga Alhamisi pamoja na kwamba tumetenga Tsh 1.4 Bilioni ( ambapo humo humo ) hata ya Kumhonga Mwamuzi / Refa na Wasaidizi wake imetengwa?

Tanzania mpaka hivi sasa tunajivunia Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje Watatu tu Mbwana Samatta, Simon Msuva na Novatus Dismas wakati Congo DR ina Wachezaji zaidi ya 83 wanaocheza Soka la Kulipwa na 99.9% wapo katika Msafara wa kuja Kututia Adabu Tanzania kupitia Taifa Stars yetu Keshokutwa Alhamisi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ninachojua Ushindi wa Tanzania na Taifa Stars yetu Keshokutwa ( Alhamisi ) ni Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Sare ya Suluhu ( isiyo na Magoli ) ila kwa 85% KEROZENE kwa ninavyowajua Wakongo, Uwezo wao, Mbinu na Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja wanaenda Kutufunga hapa hapa katika Ardhi yetu.

Ng'ombe hanenepeshwi Siku ya Mnada.
 
Na mi nasema hawatoboi washaingiza siasa na pesa kama irizi .Congo wapo vizuri+Madagascar wapo kimkakati ni no retreat no surrender nadhani ile game ya dar wangeongeza dakika 6 wange level na kutuongeza
 
Baada ya kuona Timu yetu ya Tanzania ( Taifa Stars ) sasa inaanza kuwa ni ya Kisiasa badala ya Kiuhalisia KEROZENE naziombea Ushindi mnono Timu za Taifa za Congo DR na Madagascar na Inshallah naamini zote zitatufunga ili tuendelee kubaki na Ndoto zetu na tabia zetu za Kupenda Kunenepesha Ng'ombe Siku za Mnada tu.
 
Watanzania mnanishangaza sana hasa nikiwasikia Vijiweni na mnavyodanganywa na Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kuwa Tanzania kupitia Taifa Stars itafuzu Kombe la Dunia kwa Alhamisi kumfunga Congo DR na Jumapili kumfunga Madagascar.

Kama Wachezaji wao Wawili tu wanaotamba Tanzania na kila Siku tunawaimba akina Yanick Bangala na Fiston Mayele hawajulikani Kikosini na hata Namba hawana hamjiulizi tu hao waliopo ( walioitwa ) ndiyo balaa zaidi na wanaenda Kutuumbua kwa Kutufunga Alhamisi pamoja na kwamba tumetenga Tsh 1.4 Bilioni ( ambapo humo humo ) hata ya Kumhonga Mwamuzi / Refa na Wasaidizi wake imetengwa?

Tanzania mpaka hivi sasa tunajivunia Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje Watatu tu Mbwana Samatta, Simon Msuva na Novatus Dismas wakati Congo DR ina Wachezaji zaidi ya 83 wanaocheza Soka la Kulipwa na 99.9% wapo katika Msafara wa kuja Kututia Adabu Tanzania kupitia Taifa Stars yetu Keshokutwa Alhamisi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ninachojua Ushindi wa Tanzania na Taifa Stars yetu Keshokutwa ( Alhamisi ) ni Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Sare ya Suluhu ( isiyo na Magoli ) ila kwa 85% KEROZENE kwa ninavyowajua Wakongo, Uwezo wao, Mbinu na Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja wanaenda Kutufunga hapa hapa katika Ardhi yetu.

Ng'ombe hanenepeshwi Siku ya Mnada.

Mkuu,,,kwema hukoo? Karibu sana na ID mpya, hatuambizani aise.

Ni hivi taifa stars anashinda mchana kweupee
 
Baada ya kuona Timu yetu ya Tanzania ( Taifa Stars ) sasa inaanza kuwa ni ya Kisiasa badala ya Kiuhalisia KEROZENE naziombea Ushindi mnono Timu za Taifa za Congo DR na Madagascar na Inshallah naamini zote zitatufunga ili tuendelee kubaki na Ndoto zetu na tabia zetu za Kupenda Kunenepesha Ng'ombe Siku za Mnada tu.
Ova
 
duh akili zngne banah, huu ni uwezo mdg wa kufikiri, kuingiza siasa kwe kila jambo ni ujinga, serikaliikikaa kando ilaumiwe ikisapoti nayo shida duh
Ikishinda utasikia Serikali ya CCM chini ya Rais Samia ndiyo imeifanikisha wakati hii ni Timu ya Watanzania wote hata Mheshimiwa Gaidi wa Kusingiziwa Freeman Mbowe nae ni yake pia.

Je, Kwako CCM na Serikali yake ikijisifu kwa Mafanikio ya Taifa Stars ni sahihi na inatkiwa iwe ( ifanyike ) hivyo Ndugu?
 
We ni mwehu! Akili zako na uchadema umekuharibu akili....kuna kosa gani serikali kutia motisha kwa timu ya taifa? acha ujinga.

Hao Congo dr kweli ni timu iliyosheheni ma professinal players wanaocheza ulaya, kwa nini sasa walitoka draw na Tanzania huko kwao kinshasa au Tanzania ilikuwa nyumbani na ilikodi wachezaji wa senegal au Nigeria ?kijana acha ujinga wa chuki za kisiasa hazikupeleki popote.
Michezo na siasa ni ndugu jiulize kwa nini Drogba kama mwanamichezo alizima ghasia za mapigano ya kisiasa nchini kwao Ivory coast baada ya miaka mingi ya mauji ?
Huu hapa ni upumbavu mkubwa wa terabyte 1000 ulioandika hapa kuwa na akilii kijana wa hovyo.
 
Ikishinda utasikia Serikali ya CCM chini ya Rais Samia ndiyo imeifanikisha wakati hii ni Timu ya Watanzania wote hata Mheshimiwa Gaidi wa Kusingiziwa Freeman Mbowe nae ni yake pia.

Je, Kwako CCM na Serikali yake ikijisifu kwa Mafanikio ya Taifa Stars ni sahihi na inatkiwa iwe ( ifanyike ) hivyo Ndugu?
ndio iko hivyo duniani kote, hata chelsea ilipoingia fainali UEFA dhidi ya bayern, mayor wa london kpnd hiko ambaye ndie waziri mkuu wa sasa wa uingereza alienda kucheki hio game akiomba timu hio toka london ishinde ili awe mayor wa kwanza wa london kushuhudia timu toka mji huo ikinyakua ile ndoo, , hata rais macron alijidai sn france iliposhnda world cup the same to merkel, ht km haumkubali bmkubwa ila hiyo ni too much aisee
 
Back
Top Bottom