Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 479
- 765
- Thread starter
- #21
Katiba pia haiwaruhusu wao kuwepo pale na kwa kuwa yeye ameapa kuilinda katiba hana budi kuwaondosha kwa maana nyingine hawahusiki bungeni.Katiba inamruhusu Raisi kuwaondoa?