Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

Ana uwezo mdogo sana alianza kubatizwa kuwa mama wa taifa lakini kwa upumbavu wake kaamuwa kuonyesha makucha yaudictetor mapema mno harafu alivyokosa akili unaanzanaprominentfigure wachamakilichosambaa Tanzania nzima si unaeneza kazi zake bila yeye kufika maeneo husika na hata samia akiridhia Mbowe maisha yake yaondolewe anadhani yeye ataishi milele

How unamuita Rais wa inchi Mpumbavu?
Ukikamatwa hapo unasema serikali ya kidhalim
 
Ni nadra sana sana kukutana na mwislamu Mzazibari tena mwanamke afu akawa na roho mbaya hivi...wacha tuone.
 
Hiyo Katiba iangaliwe upya, Mikutano ya kisiasa ISIWEPO mpaka muda wa Uchaguzi utakapofika.

Nchi zenye Demokrasia tangu miaka 200 iliyopita wanafanya siasa za hadharani inapokaribia Uchaguzi husika.

Sisi Tanzania tunataka miaka mitano mfululizo kupanda Majukwaani kueneza Siasa za uongo, chuki na kutoridhika na matokeo.

Leo Baiden kashinda Urais USA hatujaona Trump na wenzake wapo barabarani wakiendeleza siasa na malumbano
Upo sahihi kwa 100% mikutano ya siasa ifanyike uchaguzi hadi uchaguzi

Kwanza hao CHADEMA hawafikii hata 5% ya watanzania sasa kwa nini watusumbue sisi ambao hatuna vyama vya siasa

Andaeni Sera nzuri uchaguzi ukifika tukupigieni kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine nchi huwa haiendeshwi kwa utashi wa Rais pekee, ndio maana huwa wanasema Urais au Rais ni taasisi...
 
Si mlimuunga mkono wale waliompinga mkawapa majina Mara Sukuma gang, sasa yako wapi!
 
ningekuwa mama ningebadili hicho kipengele cha kufanya mikutano ya hdhala badala yake;;siasa zifanyike baada ya miaka 5
 
Hiyo Katiba iangaliwe upya, Mikutano ya kisiasa ISIWEPO mpaka muda wa Uchaguzi utakapofika.

Nchi zenye Demokrasia tangu miaka 200 iliyopita wanafanya siasa za hadharani inapokaribia Uchaguzi husika.

Sisi Tanzania tunataka miaka mitano mfululizo kupanda Majukwaani kueneza Siasa za uongo, chuki na kutoridhika na matokeo.

Leo Baiden kashinda Urais USA hatujaona Trump na wenzake wapo barabarani wakiendeleza siasa na malumbano
MSHAMBA MKUBWA WEWE, TRUMP ANAPIGA SIASA KAMA KAWA NA ATA MAJUZI ALIKUWA AKIFANYA MKUTANO, MSHAMBA WEWE NA UDC, UDAS HAUUPATI NG'OOOO
 
MSHAMBA MKUBWA WEWE, TRUMP ANAPIGA SIASA KAMA KAWA NA ATA MAJUZI ALIKUWA AKIFANYA MKUTANO, MSHAMBA WEWE NA UDC, UDAS HAUUPATI NG'OOOO
MALAYA MKUBWA wewe mbona mmepeewa Kesi ya UGAIDI? na jua kabisa Mbowe wala CHADEMA hawatakaa washike Ubunge au Ukuu wa Wilaya kapigeni DISCO lichama limekaa KIKABILA tu
safari hii sijui nani atakupa mimba wakati mumeo yupo Jela
 
kitawleweka tu,naona waimba mapambio wa bavicha ndo akili zimeanza kuwaludia taratibu,na hili ndo tatizo la bavicha ,wagumu kuelewa halafu wepesi kusahau. ngoja niwakumbushe urais ni taasisi.mlizani yeye kuwa rais Basi ndo mtelemuko wa churuzia utopolo.she is too tough!!
 
Back
Top Bottom