#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Hii siyo siasa huu ni UKWELI. Google mada tajwa hapo juu utaujua ukweli wenyewe na jinsi dunia imempigia saluti hayati JPM.
Naona kuna wanaoleta kejeli ktk ushauri wangu wagoogle pia wasome mada tajwa hapo juu.
 
Unaona je mkuu badala ya hiyo tume wewe na wewe peke yako ndiyo ungekuwa mshauri pekee kwa mama na dunia kuhusiana na hili gonjwa?..
Umesoma mada ya Sonia Elijah niliyotaja ama unakimbilia kukejeli Mtanzania mwenye nia njema na mzalendo jwa nchi yake?.
 
Back
Top Bottom