Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.

Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.

Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo nilishtuka Mh Ndumbaro hajui, narudia hajui chochote juu ya Wizara yake hasa masuala ya Utalii..hapa tumepugwa

Mimi sio muumini mzuri wa Siasa za Mbunge wa Nzega Mh Hamisi Kigwangalla Ila aliitendea haki Wizara hii,kufanya Online marketing,kufaham changamoto zake na aliweza kuhandle situation hasa mwaka Jana wakati wa Covid 19.

Mh Rais sikupangii Ila Wizara Bado inamhitaji huyu kijana aweze kuendelea kuutangaza Utalii,Kama Kuna eneo aliteleza akatemwa na Hayati Magufuli apewe awamu nyingine asimame na Sekta hii kwa maendeleo ya Utalii kipindi hiki dunia ikipitia katika changamoto ya kushuka kwa Soko la Utalii.

Nawasilisha.
 
Mhh huyo mwizi ndio unataka arudi tena? Mtu wa kutumia ndege kwa issue zake binafsi za kubeba mademu na wasanii wa bongo fleva/movie na kuwalaza hotel za kifahari?
 
Ukiachana na makando Kandi mloandika kuhusu Hamisi aliitendea haki Wizara hii,mengine ya kurekebisha
 
Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.

Naomba kudeclare interest..Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.
Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo ..nilishtuka Mh Ndumbaro hajui,narudia hajui chochote juu ya Wizara yake hasa masuala ya Utalii..hapa tumepugwa

Mimi sio muumini mzuri wa Siasa za Mbunge wa Nzega Mh Hamisi Kigwangalah Ila aliitendea haki Wizara hii,kufanya Online marketing,kufaham changamoto zake na aliweza kuhandle situation hasa mwaka Jana wakati wa Covid 19.

Mh Rais sikupangii Ila Wizara Bado inamhitaji huyu kijana aweze kuendelea kuutangaza Utalii,Kama Kuna eneo aliteleza akatemwa na Hayati Magufuli apewe awamu nyingine asimame na Sekta hii kwa maendeleo ya Utalii kipindi hiki dunia ikipitia katika changamoto ya kushuka kwa Soko la Utalii.

Nawasilisha.
Kwanini usiombe akuteue wewe?

Dr Kigwangalla ana nini ambacho wewe huna na kamwe hautakipata?
 
Hii ID inafahamika ktk Siasa za kipinzani nchi hii,labda umejiunga jf Jana..tuongee mengine tuache chuki na Siasa pembeni
Ni kweli ulikuwa ukiongea siasa za kipinzani kabla ya kuwa Waziri. Na siasa hizo ndo zilikuinua kama zilivuomwinua Bashe hadi kupata unaibu Waziri Kilimo. Kwani ni dhambi kukosoa ukiwa ndani ya CCM? Ni woga wenu tu.
 
Mhh huyo mwizi ndio unataka arudi tena? Mtu wa kutumia ndege kwa issue zake binafsi za kubeba mademu na wasanii wa bongo fleva/movie na kuwalaza hotel za kifahari?
Sisi ndio tupo field tunafaham kazi alizokiwa akifanya,acheni speculation
 
Rais alishasema tugange yajayo,wengi walitumbuliwa kwa uwajibikaji wa wizara nzima,sio kwa makosa yao na wakarudishwa Mfano Mwigulu ..tuongee hoja za kujenga taifa
 
Back
Top Bottom