Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

Tumehimizwa kusamehe saba mara sabini. Msamahani ndio msingi imara wa maridhiano!
 
Umenena mengi , achilia sheria ichukuwe stari wake usitake kupindishwa kwa sheria, Jambazi lihukumiwe kwa matendo yake maovu.
 
CCM ilimtuma hai apore pesa za watu, abake, akate watu viungo? Walio umizwa wanapata wapi haki? Kama anasamehewa basi na majambazi yote yasameheww
 
Asante kwa kutusaidia kuwasilisha maoni yetu. Wengi tunatamani sana kuandika hivi au zaidi. Na kesi hii ya Sabaya inakwenda kuwa kati ya kesi zitakasababisha mgawanyiko mkubwa sana katika nchi.
Na hii ni kwa sababu ya jinsi watu wanavyohandle kesi hii. Hii kesi kuna hasira na ubaguzi mkubwa sana ndani yake.
Badala ya makelele yenu, enenda ukamtafutie Mwanasheria ili LABDA amwongoze yeye kuomba msamaha. Wakati huohuo amsaidie kumwongoza namna ya kuwafidia WOTE aliyowavurugia maisha yao KWA kuwatia hofu, umasikini na ulemavu.
 
Asante kwa kutusaidia kuwasilisha maoni yetu. Wengi tunatamani sana kuandika hivi au zaidi. Na kesi hii ya Sabaya inakwenda kuwa kati ya kesi zitakasababisha mgawanyiko mkubwa sana katika nchi.
Na hii ni kwa sababu ya jinsi watu wanavyohandle kesi hii. Hii kesi kuna hasira na ubaguzi mkubwa sana ndani yake.
Mgawanyiko mkubwa kwa nchi gani? Hebu acheni kudanganyana mkuu, Yani Ole sabaya alete mgawanyiko wa nchi nzima wakati hajafikia hata robo ya umaarufu wa lowasa na membe ila hawakuleta mgawanyiko wowote......

Shutuma zake ni nzito sana....Inabidi alipie makosa yake, yani mtu akubakie mkeo alafu ukileta kutaka sheria akukate masikio au mkono alafu asamehewe kisa ataleta mgawanyiko......kati ya viongozi 50 maarufu Tz na wenye nguvu na ushawishi huyo sabaya nakuhakikishia hayupo.....
 
Kosa kubwa sana kumshtaki Sabaya mahakamani!!?
adhabu yake ilitakiwa awekwe benchi tu...
yeye kama nani hadi akwepe mkono wa mahakama? Ukuu wa wilaya ni cheo kidogo sana kuepuka mahakama kama ulitenda maovu.....ni vile tu watu hawana exposure ya yanayotokea nchi zingine.
 
Huo ni upande mmoja wa shilingi. Mimi nimeeleza upande wa kwanza! Nadhani kila upande una nafasi, lakini nafasi kubwa ni upande wangu kwa sababu pamoja na yote ametenda mambo mema kwa ahili ya Chama chetu. Ni bahati mbaya Chama hikihiki ndicho chenye Serikali!

Tunashauriwa kusamehe zaidi kuliko kulipa visasi. Hata walioumizwa wanapaswa kusamehe kwa sababu hata akifungwa haitawarufishia hasara waliyoipata.
Kwa kweli UMENUKA. Nenda kwanza kavae viatu vya walioathirika
 
Huo ni upande mmoja wa shilingi. Mimi nimeeleza upande wa kwanza! Nadhani kila upande una nafasi, lakini nafasi kubwa ni upande wangu kwa sababu pamoja na yote ametenda mambo mema kwa ahili ya Chama chetu. Ni bahati mbaya Chama hikihiki ndicho chenye Serikali!

Tunashauriwa kusamehe zaidi kuliko kulipa visasi. Hata walioumizwa wanapaswa kusamehe kwa sababu hata akifungwa haitawarufishia hasara waliyoipata.
Kwa kweli UMENUKA. Nenda kwanza kavae viatu vya walioathirika
 
Tumehimizwa kusamehe saba mara sabini. Msamahani ndio msingi imara wa maridhiano!
Hebu kuwa specific. Nakuona wazi kabisa kuwa unàtetea usichokijua kwa upotofu..

Na hebu usikwoti maandiko ya biblia na kuyatumia nje ya muktadha wake (out of its context)...

Lakini sijui kama umesoma na kuelewa andiko langu ulilokwoti...

IKO HIVI;

1. Nani amsamehe nani na kwa sababu gani...?

2. Nimekuuliza yeye Sabaya amewaomba msamaha aliowakosea kwa kuwatendea ubaya?

3. Hivi hiyo "samehe hata 7 × 70" itakuwa applicable kwa namna gani iwapo moyo wa mtenda makosa uko kama wa Yuda Iskariote usioomba msamaha...?

Au hujui kuwa, imani bila kutenda, ni sawa na hakuna ama bure...!!??

4. Nilikuambia hivi, mtu kusamehewa ni hatua moja lakini kutibu majeraha (healing the consequences of the sins) ni mchakato ambao huendelea kwa kitambo kidogo lakini kwa neema ya Kristo Yesu, mtu husahau na kuanza kuishi maisha mapya...

5. Kwa hiyo, it's likely kuwa huyo nduguyo Sabaya amekwisha kusamehewa kitambo na aliowakosea. Haieleweki wewe una mashaka ya nini juu yake....

Kinachoendelea kwa sasa ni kukabiliana na matokeo ya makosa yake ambayo ni hatua ya muhimu na ya lazima kuipitia kwenda kwenye utimilifu...

Hata wewe leo kwa mfano, uwe ulikuwa jambazi na ikatokea ukapigwa risasi na kuvunjwa miguu ktk harakati zako za wizi, ukatibiwa, ukapona na kisha ukabaki na ulemavu na baadae ukatubu dhambi yako ya ujambazi wa kuiba mali za watu...

Mungu atasamehe dhambi zako zote na kuzifuta na kusahau kabisa lakini jeraha na ulewavu wako kwa sababu ya matendo ya dhambi yatabaki na utakuwa nayo....

Lakini pia ni lazima urejeshe vya watu ulivyoiba na kuwaomba msamaha uliowatendea ubaya huo...

Hilo ndilo analotakiwa kulifanya Sabaya rafiki yetu. Tumwambie ukweli huu, tusimwogope...

Sasa mimi, nakushangaa wewe kwa sababu unatetea usichokijua vyema huku ukiukwepa UKWELI huu ulio wazi sana...!!
 
Ndugu acha unafiki huyo mtu kawaumiza watu wengi kwa uonevu tu kwa vile alikuwa na madaraka huyo alitakiwa afanyiwe yale yale aliyefanyia wengine sema basi tu utaratibu wa kisheria unaelekeza vingine sasa acha kujitia mwanadini sana na mifano yako ya kipuuzi.
Sio unafiki mkuu hapa ameeleza vyema kwenye nafasi Kama hizi za UDC Tena kwenye Jimbo la mtu Kama mbowe Kam alipewa maelekezo na mwenyekiti wake wa chama alikua anabidi atekeleze majukumu yake kwa style ile ili ahakikishe CCM inashinda .kumtoa UDC ilikua inatosha Ila walipofika wanatuamisha Kuna agenda ya Siri dhidi yake maana waliotumia madaraka vibaya sio yeye tu ukiangalia mfumo wa serikali yetu wapo wengi Sana Kama Ni haki wote wakamatwe wawajibishwe basi. UVCCM tunasimama na sabaya
 
Huo ni upande mmoja wa shilingi. Mimi nimeeleza upande wa kwanza! Nadhani kila upande una nafasi, lakini nafasi kubwa ni upande wangu kwa sababu pamoja na yote ametenda mambo mema kwa ahili ya Chama chetu. Ni bahati mbaya Chama hikihiki ndicho chenye Serikali!

Tunashauriwa kusamehe zaidi kuliko kulipa visasi. Hata walioumizwa wanapaswa kusamehe kwa sababu hata akifungwa haitawarufishia hasara waliyoipata.
why yeye asamehewe na Sio Mdude na Wana Chadema 200+ Wanaoteseka magerezani?? na Sio mzee Ruge na Seti?? why Sabaya?? what special with him?
 
Hao waliobakwa wako wapi? Mbona Machame mnakuza vitu kwa maneno matupu? DC anakata mtu masikio? Au anambaka mtu? Acheni kutumia maneno matupu. Yaliyoko kwenye hati ya mashitaka yanamake sense lkn sio haya maneno matupu yanayoshadadiwa na Wamachame.
 
Ndugu kati ya haya iliyoandika, lipo hata moja limesomwa mahakamani? Kama sivyo, wewe ndiye unayejifucha kwenye kivuli cha Magufuli ili umtete huyu swahiba wako Sabaya.
Shutuma za Sabaya mahakamani ziko dhahiri; rushwa ujambazi wa kutumia silaha na matumizi mabaya ya madaraka. Je haya yanakihusuje chama cha mapinduzi? Walimtuma? Je haya yanahusianaje na ubunge wa Hai na Mbowe? Je haya aliyoyafanya ndio yaliyofanikisha ushindi wa ccm Hai? Maswali ni mengi, ila itoshe kusema tuhuma za Sabaya ni personal na usitake kuihusisha na ccm.
Juu ya mwendazake, ni sahihi kuhusishwa naye kwani ukweli uko wazi. Haya mengi

CCM ilimtuma hai apore pesa za watu, abake, akate watu viungo? Walio umizwa wanapata wapi haki? Kama anasamehewa basi na majambazi yote yasameheww
Mna hati yenu ya mashitaka tofauti na tuliyoiona?
 
Back
Top Bottom