Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 284
- 436
Napambana nami nizeekee Dar Es Salaam in shaa Allaah.
Kuna heshima kuwa Mzee wa Dar es Salaam.
Kuna anaebisha?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga kutoka sukuma gang amepanicMama Samia usiache kuhoji Lisu na Lema wanarudi lini Tanzania.
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.
Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.
Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
ila hapakukalika alijikuta kalala bichi..ikabid mzee wa town J aingilie kati ndo hali ikawa shwarDikteta aliwadharau
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge aliyebainisha kuwa kulikuwa na utaratibu maalum wa kuwapata wazee hao na kwamba wengine wanapaswa kufuatilia mkutano huo kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
"Tunaomba sana waliopata mwaliko wahudhurie mkutano huu, Tunatarajia ikifika saa nane kamili wazee wote watakuwa wameshafika. Na utaratibu wa jinsi ya kufika utatolewa kwani kutakuwa na magari yameandaliwa.”
"Tunamshukuru Rais kwa kuchagua Mkoa huu kwa sababu angeenda Mkoa wowote lakini amechagua Dar es Salaam. Ninaamini kuongea na wazee hao atakuwa ameongea na wazee wa Tanzania nzima," amesema.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa ya May 07 anatarajiwa kufanya mkutano na zaidi ya Wazee 900 wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo Katika kikao icho watajadili Mambo mbalimbali.
Akitoa taarifa ya Mkutano huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema kikao icho kitafanyika Ukumbi wa Mikutano Mlimani city kuanzia saa 8 Mchana.
Aidha RC Kunenge ametoa wito kwa Wazee waliopata mialiko ya kushiriki kikao hicho kujitokeza kwa wingi ili wapate kusikiliza kile ambacho Rais Mhe. Samia amewaitia.
Kwa upande wao Viongozi wa Wazee wamemshukuru Mhe. Rais Samia kwa kuona umuhimu wa kukutana na Wazee huku wakisema wanatarajia Kikao icho kitakuwa na Manufaa makubwa kwao.
Vile vile,lakini angeanza na wazee wa Chato.Aisee..
Mzee Msoga style
Halafu mama mjanja sana, anawaambia mimi na hayati ni kitu kimoja yanashangilia Kama mazuzuMATAGA hawaonekani ni vumbi tu lina timka Mama songa mbele TUPO PAMOJA
Hakuna lolote wanaendekezwa bure tu"Wazee" hawa ukikosa baraka zao kuna usumbufu sana.
Unalazimisha sana Lisu na Lema warudi Tz. vipi walikuahidi kukuoa?Mama Samia usiache kuhoji Lisu na Lema wanarudi lini Tanzania.
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.
Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.
Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge aliyebainisha kuwa kulikuwa na utaratibu maalum wa kuwapata wazee hao na kwamba wengine wanapaswa kufuatilia mkutano huo kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
"Tunaomba sana waliopata mwaliko wahudhurie mkutano huu, Tunatarajia ikifika saa nane kamili wazee wote watakuwa wameshafika. Na utaratibu wa jinsi ya kufika utatolewa kwani kutakuwa na magari yameandaliwa.”
"Tunamshukuru Rais kwa kuchagua Mkoa huu kwa sababu angeenda Mkoa wowote lakini amechagua Dar es Salaam. Ninaamini kuongea na wazee hao atakuwa ameongea na wazee wa Tanzania nzima," amesema.
Mkuu, nami naona ni vyema hili suala la JIJI kuwa ni wilaya ya Ilala tu halina afya mzuri. Pamoja na Mh. Rais kutaka kurithi baadhi ya ambayo ya mtangulizi wake, lakini kwa hili naona aliangalie upya. Kama anapenda kuwe na JIJI na wilaya za Ilala, Kinondoni, Temeke ziendelee kuwepo, mimi kwa mtazamo wangu napendekeza kama ifuavyo:Eneo kuanzia Chuo cha U vuvi Kunduchi kufuata barabara hadi Mbuyuni (junction ya barabara ya Bagamoyo na Kunduchi Beach) unakuja hadi Lugalo, Chuo cha Ardhi, Chuo Kikuu Chuo cha Maji, Mabibo Hostel, Tabata Segerea, Airport, TAZARA, Veterinary, National Stadium (Mgulani), Chuo cha Uhasibu, hadi Daraja la Kikwete na Kigamboni. Eneo hilo linafaa kwa kuanza na JIJI LA DAR-ES-SALAAM. Nakaribisha maboresho.Safi sana, Mheshimiwa rais, Sisi wazee wa DSM tunaomba Jiji Letu la Dar'es salaam ulirudishe liwe moja ila Uunde halmashauri moja ya Jiji kutoka wilaya Zote.
Haiwezekani Msasani, Mwenge, Kawe kusiwe jiji eti jiji liishie posta tu.
Kufuata model ya mwanza eti Halmashauri ya jiji iundwe na wilaya mbili tu haimake sense kwa DSM kwa sababu Mwanza ni kubwa ina rural area kubwa, kwa hiyo ni sahihi Jiji kuwa kwenye wilaya hizo mbili, Lakini DSM yetu kwa eneo ni Ndogo kwa hiyo Wilaya zote zinatosha na zina vigezo vya kuwa jiji moja.
Hii ni style yenye afadhali kuliko ile Chato styleAisee..
Mzee Msoga style
tangu enzi za nyerere hadi kikwete, walikua na utaratibu wa kuzungumza nao wazee wa pwani hawa.Dikteta aliwadharau sn
Wakati huohuo Mataga (you included) wamegeuka kuwa wapinzani wa serikali ya CCMBavicha wamecover nafasi ya mataga katika kuisifu CCM.
Safi sana, CCM mbele kwa mbele.
Kazi kwelitangu enzi za nyerere hadi kikwete, walikua na utaratibu wa kuzungumza nao wazee wa pwani hawa.
jiwe yeye hakujua aliwakumbatia wazee wa chato,akawasahau wazee wa pwani.
na nakuhakikishia akimaliza kuzungumza na wazee wa dar, mbio za mwenge zinafunguliwa upya.