Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

Tumefuka ukumbini toka saa saba na nusu mpaka muda huu hakuna lolote linaendelea.

Mpaka muda huu mama hajafika ukumbini na hakuna taarifa yoyote ile. Mwisho wa siku tumeanza kuongelea Dabi ya kesho tu. Wahusika kama mpo humu nawaambie hamtutendei haki kabisa
dabi kwani inasemaje kuhusu kesho ?
 
Super woman !!! Mama ana degree moja ana busara kuzidi mibaba yenye phD
IMG_20210501_234327.jpg
 
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake

Halafu mnasema Afrika inaliwa na nchi za mabeberu.
Kwa laana hizi ndio maana vita za ndani na chuki hazikomi Afrika mana kiukweli Beberu mbaya kabisa ni mwafrika mwenyewe anayewaza muda wote kuhujumu nchi yake ili tu afanye ufuska, na ulevi, ushirikina na kungangania uongozi.
 
Back
Top Bottom