Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,643
- 218,099
Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
Rais Samia Suluhu amesema haya.
''Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi pamoja na watoa taarifa. Wakati mwingine watu wanakataa kwenda kutoa ushahidi kwa sababu akitoa tu tayari anajulikana, kesi inaanza upya nje kwa visasi na kuwindana''