SawaHotuba ya rais mama samaia kesho itavunja rekodi ya kutizamwa na kusikilizwa na wananchi wengi katika historia marais wote waliopata kutokea katika taifa letu
Jioni mkuu. Spika kasemaNi saa ngapi?
Ndo tanzania yetuHao wakishasaini posho tu wanakuja Dar kula bata Dodoma vumbi jingi!
🙏🙏🙏Nilikua Dodo recently,
It's such a beautiful town.
🤣🤣🤣Ingekuwa Upinzani wangeshanyimwa posho.
🤣🤣🤣Naona unapulizia kinyesi perfume ili kinukie.
Kwa kuua watuThanks to JPM!
Yamekuwa hayo tenaKwa kuua watu
Saa kumi kamili jioni mkuu.Ni saa ngapi?
Ben Sanane,Anzory Gwanda na wote waliouwawa MKIRU.Yamekuwa hayo tena
Atowe kauli zenye kuleta upatanishiMama aridhiane na nani Bungeni?? Aridhiane Na wale covidol au na nan?