Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
And the world will record her as the first person with that kind of contraption to be a 'tyrant'!

Tanzania would have an unenviable reputation of a country from which such a tyrant came from.

Kilimanjaro will no longer be our banner, but Samia Suluhu Hassan, the tyrant, as is the Fuehrer Adolf Hitler himself of Germany!
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Haki hiyo umeiona na kuikumbuka leo baada ya Mbowe kukamatwa. Mbona before Mbowe akamatwe ulikuwa hujaja hapa kuzungumzia swala la haki? Yan nyinyi haki mnaipima pale wanapokamatwa viongozi wa chadema au kuzuiwa kufanya mikusanyiko bila kibali tu. Mungu hawezi kujibu hukumu yako maana imekaa kibaguzi.
Leo nimekutana nawe mara mbili, na kwa bahati mbaya mara zote mawazo yako ni ya kipumbavu kweli kweli. Hivi upo hivi kila mara?
 

funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,474
2,000
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Hii haina mashiko kama kauawa mtakuwa ni nyie wenyewe
 

Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,420
2,000
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.

Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21

Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee kuutunza na kuustawisha, la hatakuta haki tutamsii autwae utawala wako.

Hii itakuwa endelevu, kila kiongozi atakayeitawala nchi hii tutaupima utawala wake kisha tutamsihi Mungu mwenye HAKI aupime pia.

Anayekosa awajibishwe bila kujali chama chake, awe ndani ya CCM awe chama pinzani awajibishwe pia. Cha msingi ni haki tu itendeke.

Tanzania itatawaliwa kwa misingi ya haki na kumcha Mungu.

Nimeongea kiroho zaidi.
KWA HILI LA MBOWE HAKI ITENDEKE.

EWE MWENYEZI MUNGU IDHIHIRISHE HAKI KATIKA HILI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom