Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,062
- 79,089
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!