#COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,987
9,815
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021

Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021

Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona. Njia nyingine ni kunawa mikono, kuvaa barakoa na njia za asili

6461F7AF-DB3E-4F80-8999-D28BFA30DB1A.jpeg
33F2D04A-88B5-4651-A8E6-41145D92D876.jpeg
 
Waziri wa Afya Dk. Dorothy Gwajima amesema Rais @SuluhuSamia siku ya Julai 28, 2021 katika Ikulu ya Dar es Salaam atazindua zoezi la kuchanja chanjo ya Corona aina ya Janssen, ambapo Rais Samia atachanjwa.

Chanzo : @wizara_afyatz

20210726_212217.jpg
 
20210726_214122.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan Julai 28, 2021 atazindua zoezi la utoaji chanjo, uzinduzi utakaofanyika Ikulu Dar es Salaam kwa yeye kuchanjwa. Baada ya hapo wizara ya afya itaendelea na usambazaji wa chanjo & kutoa utaratibu wa uchanjwaji wananchi katika vituo vilivyoandaliwa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom