Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Nawasalimu kwa Jina la JMT,


Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.

Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,

Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,

Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,

Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?


#Kazi iendelee

View attachment 1959269

View attachment 1959270

View attachment 1959273

View attachment 1959274

CA38CC9C-873A-48B0-BABE-1118A7C4F535.jpeg
 
Kwani hana sifa?

Sio mbunge -HAPANA

Hana elimu -HAPANA

Sio Matanzania -HAPANA

Kwanini asipewe huo uwaziri? |Tena wamemchelewesha sana,


#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI

Na bado kuna unaibu utamuhusu kwa hisani ya mzee wa Msog
 
Back
Top Bottom