Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu

Zaidi soma:

View attachment 1946204
Wanabahati kuteuliwa na Mama akiwa Marekani. Maana kuna watu wanaona Marekani ni mbinguni

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Huyu Yona Killagane atakuwa anacheza na umri miaka ya 70 mwishoni au 80 huko! Nadhani alishaondoka katika mambo ya utumishi na uongozi miaka mingi!
 
Back
Top Bottom