Rais Samia Suluhu azindua mtambo wa kisasa taasisi ya moyo Jakaya Kikwete. Asema Kazi ilifanyika Awamu ya Tano

Tunampenda Mama but she needs to be more careful about what she says. Nilimsikia akisema Zambia badala ya Zimbabwe wakati akizungumza na waandishi wa habari. Hii ni baada ya mazungumzo na Rais wa Botswana. Zambia's Kaunda was part of the Mulungushi Club and so that country was not assisted in its liberation by Botswana and Tanzania.

Pia nilimsikia akijichanganya several times kwenye kusoma kiasi cha fedha. Huwezi ukasema vitu kama laki mbili na mia tatu elfu. Huo ni mfano but she said similar things.

Kama ni kupitiwa kidogo na siyo lack of intellectual acuity then tutaona hotuba zijazo zitakuwaje. Yakijirudia haya makosa basi itabidi tujiulize kama anatosha kwenye hiyo nafasi.

Kipindi cha honeymoon karibu kitakwisha
 
Hii ni baada ya mazungumzo na Rais wa Botswana. Zambia's Kaunda was part of the Mulungushi Club and so that country was not assisted in its liberation by Botswana and Tanzania.

Sir. Seretse Khama , Kenneth Kaunda and Mwalimu Nyerere were very close political associates, hence it is not far fetched to say they did somehow play a role in pursuit of the independence of Zambia!!

Mimi nakumbuka wakati wa harakati za uhuru wa Zambia wakina marehemu Simon Kapwepwe, Sikota Wina na Ndugu yake Arthur Wina were always shuttling to dar es salaam for cosultations!! Mama hakukosea, check your historical facts.
 
Hii ni tweet ya Mwananchi:

“Miongoni mwa wanaotibiwa hapa wanatoka nchi jirani kama Burundi, Ethiopia, Malawi Marekani, Misri, Rwanda, Uganda na Ugiriki hii ni hatua nzuri kuelekea azma yetu ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi Afrika ,” - Rais @SuluhuSamia.
Screenshot_20210613-024729.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir. Seretse Khama , Kenneth Kaunda and Mwalimu Nyerere were very close political associates, hence it is not far fetched to say they did somehow play a role in pursuit of the independence of Zambia!
Zambia gained independence ahead of Botswana (1964 for Zambia and 1966 for Botswana). Kwa hivyo si sahihi kusema Botswana ilishirikiana na Tanzania kuikomboa Zambia. Rais alikosea, alitakiwa kusema Zimbabwe badala ya Zambia. Au unadhani kasahau tu kuitaja Zimbabwe?
 
Back
Top Bottom