Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

Hapakuwa na watu kabisa hapo hadi "Hassan Bin Alli na watoto wake saba" walipofika hapo?

Ndio watu wa mwanzo kabisa ndani ya visiwa hivyo? Au huko misituni kulikuwa na 'manyani' pekee bila kuwepo watu?

Hebu sema, ilikuwa miaka gani hiyo?

Mkuu Kalamu

Kabla ya kufikiwa na Hassan Bin Alli na watoto wake saba, Zanzibar ilikuwa tupu hakuna mtu hata mmoja. Kumbuka kwamba Zanzibar ni visiwa na nilazima uvuke bahari kuvifika. Waafrika wa Afrika Mashariki kazi zao ilikuwa kuwinda na kulima sio kuunda majahazi. Siamini pia kwamba waliweza kuogelea baharini wakafika Zanzibar. Pia kusafiri kwa miaka ile ilitokana na utashi wa kutaka kukusanya mali zaidi, watanganyika leo hii hawaijali mali yao unadhani walikuwa na utashi wa kutafuta mali zaidi katika maelefu ya miaka iliyopita? Besides, Zanzibar haikuwa na mali yoyote isipokuwa majahazi yalikuwa yakuchukuwa maji tu hapo miaka hiyo. Mtanganyika alikuwa hana shida na maji ya Zanzibar kipindi hicho.

Muafrika wa kwanza kufika znz aliletwa kwa ajili ya kazi tu.

Hassa Bin Ali alifika Zanzibar katika siku za Persin Empire.
 
Mkuu nimegoma, mimi ni mwana CCM na nina namba kabisaaa, mahaba yangu kwa hiki chama sio mchezo mchezo 🤣 🤣 🤣 🤣
Kama maendeleo ya kweli yanapatikana CCM, na CCM ni chama cha siasa, basi maendeleo yana vyama. Labda kama kwa kusema 'maendeleo hayana chama' katika kutumia maendeleo hakuna uchama, lakini hili sio issue kwa kuwa na vyama vyingi kwa sababu nia yake ni kuwa na alternative.
 
Yeah upo sahihi kabisa ni vyema tukawa na vyama na kila chama kazi yake kubwa ni kupeleka itikadi zake kwa wananchi ili kujizolea ufuasi na uungwaji mkono wa kutosha, na ili chama kisonge mbele kinahitaji watu makini sio wale ambao half time wanaomba wabadilishe jezi wavae za timu nyingine kwa visingizio vya kuunga juhudi namna wapinzani wao wanavyotandaza pasi kumbe wanakimbilia kupewa ukocha usaidizi.

Na sasa kuna haja ya kuwa na Taasisi imara ili kuepuka sintofahamu za hapa na pale.
 
Mkuu Kalamu

Kabla ya kufikiwa na Hassan Bin Alli na watoto wake saba, Zanzibar ilikuwa tupu hakuna mtu hata mmoja. Kumbuka kwamba Zanzibar ni visiwa na nilazima uvuke bahari kuvifika. Waafrika wa Afrika Mashariki kazi zao ilikuwa kuwinda na kulima sio kuunda majahazi. Siamini pia kwamba waliweza kuogelea baharini wakafika Zanzibar. Pia kusafiri kwa miaka ile ilitokana na utashi wa kutaka kukusanya mali zaidi, watanganyika leo hii hawaijali mali yao unadhani walikuwa na utashi wa kutafuta mali zaidi katika maelefu ya miaka iliyopita? Besides, Zanzibar haikuwa na mali yoyote isipokuwa majahazi yalikuwa yakuchukuwa maji tu hapo miaka hiyo. Mtanganyika alikuwa hana shida na maji ya Zanzibar kipindi hicho.

Muafrika wa kwanza kufika znz aliletwa kwa ajili ya kazi tu.

Hassa Bin Ali alifika Zanzibar katika siku za Persin Empire.
Kwa maana hiyo, visiwa vyote vilivyomo kwenye bahari na maziwa makuu yaliyopo Tanzania vilikuwa havina watu, kwa vile hawa waafrika hawakujua kuogelea; hawakuwa na akili ya kuunda chombo cha kuwavusha toka bara walikokuwa na kuwapeleka kwenye visiwa.

Hapa unaendelea "kukata na kubandika" habari ile ile unayoweka kujibu maswali.

Kinachoonekana wazi katika majibu yako ni dharau kubwa kwa waTanganyika; ambao kwa bahati nzuri wamekwishakufunza somo wewe na wote wenye akili kama zako; na kwa bahati mbaya sana kwenu, hamna lolote sasa mnaloweza kuwafanya.

Mtabaki kulilia tu huko pembeni.
 
Ohooo usiniambie maza mashatia timu -- laah sijui ni zamu ya nani toba!!
 
Kinachoonekana wazi katika majibu yako ni dharau kubwa kwa waTanganyika; ambao kwa bahati nzuri wamekwishakufunza somo wewe na wote wenye akili kama zako; na kwa bahati mbaya sana kwenu, hamna lolote sasa mnaloweza kuwafanya.

Mkuu Kalamu

Ikiwa unaishi katika ndoto aghalabu unaweza kujikuta hata ukiwa juu ya mlima kilimanjaro.

Unasema ninadharau Wa Tanganyika. Kwanza wewe unajuwa wazi leo hii hakuna tena Tanganyika. Babu yenu aliamua kuiuwa Tanganyika kwa utashi wake binafsi. Pili unazungumia watu wasio na kwao ambao ni watanganyika kutupa somo sisi wazanzibari, yaani mashekhe wetu. Iko wapi tofauti ya baina ya mashekhe wetu na wewe ulinaejihisi uko uhuru. ninambie unapata faida gani ukiondosha kupokea rusha kama uko serikalini?

Na unasema kwa bahati mbaya sana kwetu hatuna chochote kweli juu ya hilo, isipokuwa mkuu na nyie huko wenye kila kitu, lakini 95% ya watu huko ni mafukara, munayo mafuta, gas, dhahabu, almasi, maadini mengi tu, wanyama pori, misitu kwa ajili ya mbao, niambie wewe kama mtu ulieko huru unafadika nini na mali yote hiyo?

Mali zenu zoooooooooooote zinachukuliwa na wenye akili za ukweli na zilizoko huru, wachina, wazungu, wayahudi. Nyie kazi yenu porojo la siasa na uduni. Sasa chukuwa hili na uliweke akilini mwako kaka, nyie huko sio visima vitowe mafuta na gas, au migodi itowe dhahabu na almasi na kopa tu, wachia mbali hayo, ikiwa visima vinatowa dola za kimareani na migodi inatowa dola za kimarekani, bado mutakuwa walala hoi milele. Kwasabau hamna elimu ya ukweli, hamuna uwezo wa kuzitawala mali zenu.

Kwahivyo zanzibar haina chohcote ni kweli lakini Tanganyika sio kwamba haina chochoye tu hata kuwepo haipo, na utajiri wenu hauna maana yoyote kwa mtanganyika yoyote isipokuwa wachache sana.
 
Eeeenheee, Heee.

Unanifanya nicheke kwelikweli kwa haya unayoyaandika hapa. Hii ni dalili iliyo wazi kwamba sasa umeanza kuelewa ukweli, na ukweli huu unakuumiza hasa.

Siioni Zanzibar tena ikiwa mikononi mwa vibaraka wa waarabu. Haitatokea tena, ever!

Hayo mengine unayoyasema hapo, kuhusu wizi wa mali za taifa letu, tulia tu, utaiona Tanzania inakwenda mbele utake usitake. Haturudi nyuma.
Kama unayo matumaini ya kuona mvuruganyo kati yetu hapa, sahau, hautatokea na taifa letu litazidi kuimarika tukisonga mbele hatua kwa hatua.
Zanzibar ni Hong Kong ya Tanzania. Huwezi kuinasua na kuifanya sehemu ya kutuchezea nchini mwetu.
Kwa hiyo, jiandae tu, uzoee na hali hiyo mpya inayokuumiza kwa sasa, lakini usihofu, utazoea tu baadae.

Angalia usivyokuwa na akili: kati yangu na wewe, ni nani "anaishi kwenye ndoto", Zanzibar siyo sehemu ya Tanzania?

Ndoto zako za kuinasua kuwa sehemu ya Muungano uanayo mategemeo?
 
Kalamu

Unaposema maneno yanayoingia akilini sitokuwa ninakupinga. Nikweli kwamba Zanzibar imepoteza utaifa. Ni kweli maneno yako kwamba Zanzibar kwa muda huu tumepoteza dira. Ni kweli kwamba inavoonekana katika uhai wa CCM, Zanzibar itakuwa inatawaliwa na mkoloni mweusi, watu wenye njaa na wasiojuwa thamani ya maisha yao, wenye elimu bandia na wengi wao wameishia darasa la 7, Watangayika. Huo ni ukweli na tunajuwa, maji yashamwagika na kuyazoa shida sana. Mie binafsi siwezi kuilamu CCM kwa kuifanya Zanzibar kuwa koloni lake, bali ikiwa kuna wa kuwalaumu ni wazee wetu walioruhusu watumwa na waliokuja znz kutafuta kazi kuingia katika siasa. Matokeo yake kijakazi sasa anamtawala boss wake.

Lakini kuhusu tz kupiga hatuwa, forget it bro, mutapiga hatuwa 2 mbele halafu mutapiga hatuwa 10 nyuma, tizama tu hadi 2014 palikuwa vipi na 2016 hadi 2020 palikuwa na nini. Huo ndio ukweli wa Tz. Hamuwezi kujitawala kiuchumi na narejea tena hata ikiwa visima vya mafuta na gesi viwe vinatowa dola za kimarekani bado mutakuwa mafukara. Mambo yatakuwa pale pale, pesa na mali zenu na kila cha maana kitaendelea kumilikiwa na waarabu, wahindi, wazungu, wachina, wayahudi.

Mali yenu ndio laana yenu. Maisha milele mutakuwa watumwa na hamutoweza abadan kujimiliki katika eneo la mali zetu. Wala usiote bure kaka, ikiwa hamukuweza miaka 50 iliyopita hakuna ishara yoyote ya kuweza mika 50 ijayo.

Soma kutoka kwangu bro, ukitaka kujuwa nchi iliyoko kwenye dhiki sikiliza kauli za viongozi wake, ukiona kiongozi anajisifu kwa kujenga barabara, ujuwe nchi hiyo iko taabani sana, ukiona kiongozi anajisifu kwa kujenga clinic ujuwe nchi hiyo iko taabani sana, ukiona kiongozi anajisifu kwa kununua ndege ujuwe nchi hiyo iko taabani sana. Na hasa ikiwa mambo yote hayo yameweza kufanyika kwa kutumia kodi zilipwazo na raia kwa njia moja au nyengine. Na ubaya zaidi ni kuona raia wanamsifu kiongzi kwa kujenga barabara, clinic, kununua ndege, hilo ni sawa na wewe kalamu kuisifu ATM kukupa pesa zako. Ikiyaona hayo ni kujuwa kwamba nchi hiyo inawatu wale waitwao walking dead.

Watu kama hao never kuendelea.
 
Zanzibar haikuwahi kuwa na utaifa.

Itakuwaje na utaifa huku wavamizi toka nchi ya mbali wakitawala na kuwamaliza wenyeji wa nchi husika?

Sasa ni wazi kwamba Mapinduzi ndiyo yaliyorekebisha dhulma waliyokuwa wamefanyiwa wenye nchi yao.

Utabiri wako, au matakwa yako kwa Tanzania ni ndoto kuliko ile uliyoisema ya mlima Kilimanjaro. Matamanio yako ya kuiona Tanzania ikisambaratika na kubaki maskini kaa nayo mwenyewe kwa sababu hayana maana yoyote kwa hatma ya nchi yetu.

Hata sielewi una maana gani na hiyo aya ya mwisho. Kwani ujenzi wa vitu hivyo, barabara n.k., ni makosa?

Ndiyo maana nakueleza kwamba upeo wako ni mdogo sana. Una ufinyu mkubwa wa upeo, na hali hiyo inapochanganyika na elimu kuwa ndogo matokeo yake ndiyo aina hii ya uandishi wako.
Mi nadhani sina cha zaidi chenye maana kinachonifanya niendeleze mjadala huu na wewe, kwa sababu huna kingine kipya cha kuchangia hapa. Imebaki kuwa ni mipasho tu isiyokuwa na maana yoyote, kama hiyo ya kuitabiria Tanzania kutoendelea mbele.
 
Zanzibar haikuwahi kuwa na utaifa.

Itakuwaje na utaifa huku wavamizi toka nchi ya mbali wakitawala na kuwamaliza wenyeji wa nchi husika?
Utaifa wa Zanzibar huu hapa ona video hizo hapo United Nations 1963

Tunaweza kusema Tanganyika haikuwa nchi kama ilikuwa ilikuwa nchi lini ilikuwemo katika UN?

Zanzibar ilikuwa sio tu nchi bali ilikuwa ni empire, wakiitawala sio tu Mrima, bali pia Kenya, Uganda, DRC, Somalia, Burundi/Rwanda, hadi Mozambique. Kote huko kulikuwa na magavana kutoka Zanzibar.

Utabiri wako, au matakwa yako kwa Tanzania ni ndoto kuliko ile uliyoisema ya mlima Kilimanjaro. Matamanio yako ya kuiona Tanzania ikisambaratika na kubaki maskini kaa nayo mwenyewe kwa sababu hayana maana yoyote kwa hatma ya nchi yetu.

Hata sielewi una maana gani na hiyo aya ya mwisho. Kwani ujenzi wa vitu hivyo, barabara n.k., ni makosa?

Mimi si mtabiri labda useme nimtazama ukweli na kulinganisha uhalisi wa uhusiano na uwiyano baina ya maisha na system iliyopo na inayoendelea. Kwahivyo uwezo wenu huko wa kujiongoza hauoneshi kwamba upo uwezekano wa kupata mafanikio makubwa ya kupigiwa mfano katika miaka 50 ijayo.

Sababu ya kwanza generation hii ya sasa ni total lost generation, nothing significant can be done or achieved. Ikiwa kipofu anaweza kupanda mlima kilimanjaro basi na nyie huko mutaweza kujinasuwa katika trap ya world economic tentacles. Ikiwa bado munatumia utaratibu wa elimu ya mkoloni ya kuwanyima elimu watoto wenu, yaani wengi ya watto wenu wanaishia elimu darasa la 7 tu, munatarajia nini zaidi ya kuzalisha malaya na majambazi. Na umalaya umeingia hata katika vyuo vikuu, na ujambazi umeingia hadi serikalini, si unaona kila moja ni mwizi kuliko mwengine. Na ikiwa wanaomaliza vyuoni hawana elimu isipokuwa wanabeba makaratasi tu, unatarajia nini mkuu.

Kuhsu ujenzi wa barabara,nakusudia ni jukumu la serekali hususan ikiwa walipa kodi ni wananchi. Kwahivyo serikali ilikuwa inapaswa sio kujenga barabra tu bali ziwe za uhakika, na kujenga clinics pamoja na kutowa matibabu bora kwasababu wananchi wanalipia kodi ili kuchangia upanuzi wa uchumi, afya bora ya wananchi ni sehemu ya kujenga uchumi wa nchi. Tatizo ni kuona kiongozi anajisifu kwa kufanya kazi ambazo ni wajibu wao kufanya. Na tatizo la pili ni kuona wananchi hawajui ni nini maana ya kodi wanayoilipa na saanyengine wanalipishwa kwa nguvu.
 
Utaifa wa Zanzibar huu hapa ona video hizo hapo United Nations 1963

Tunaweza kusema Tanganyika haikuwa nchi kama ilikuwa ilikuwa nchi lini ilikuwemo katika UN?

Zanzibar ilikuwa sio tu nchi bali ilikuwa ni empire, wakiitawala sio tu Mrima, bali pia Kenya, Uganda, DRC, Somalia, Burundi/Rwanda, hadi Mozambique. Kote huko kulikuwa na magavana kutoka Zanzibar.

'Of course', hata Makaburu Afrika Kusini walikuwa ni nchi, au sio? Maanake hata wao walikuwepo huko UN!

Hata Ian Smith wa Rhodesia alitambuliwa na wengi kuwa alikuwa na nchi.

Kwa hiyo hii hoja yako hapa ni mfano wa hizo nilizozitaja, na nyingi nyingine.

Kwa hiyo hapa unataka tujivunie himaya ya waingereza pia?
Himaya za wareno, wahispania, wafaransa....?

Mbona uko nyuma sana. Wakati ulishapita mbio sana, na wewe ukabaki nyuma? Hiyo itakusaidia vipi!
 
Mimi si mtabiri labda useme nimtazama ukweli na kulinganisha uhalisi wa uhusiano na uwiyano baina ya maisha na system iliyopo na inayoendelea. Kwahivyo uwezo wenu huko wa kujiongoza hauoneshi kwamba upo uwezekano wa kupata mafanikio makubwa ya kupigiwa mfano katika miaka 50 ijayo.

Sababu ya kwanza generation hii ya sasa ni total lost generation, nothing significant can be done or achieved. Ikiwa kipofu anaweza kupanda mlima kilimanjaro basi na nyie huko mutaweza kujinasuwa katika trap ya world economic tentacles. Ikiwa bado munatumia utaratibu wa elimu ya mkoloni ya kuwanyima elimu watoto wenu, yaani wengi ya watto wenu wanaishia elimu darasa la 7 tu, munatarajia nini zaidi ya kuzalisha malaya na majambazi. Na umalaya umeingia hata katika vyuo vikuu, na ujambazi umeingia hadi serikalini, si unaona kila moja ni mwizi kuliko mwengine. Na ikiwa wanaomaliza vyuoni hawana elimu isipokuwa wanabeba makaratasi tu, unatarajia nini mkuu.

Kuhsu ujenzi wa barabara,nakusudia ni jukumu la serekali hususan ikiwa walipa kodi ni wananchi. Kwahivyo serikali ilikuwa inapaswa sio kujenga barabra tu bali ziwe za uhakika, na kujenga clinics pamoja na kutowa matibabu bora kwasababu wananchi wanalipia kodi ili kuchangia upanuzi wa uchumi, afya bora ya wananchi ni sehemu ya kujenga uchumi wa nchi. Tatizo ni kuona kiongozi anajisifu kwa kufanya kazi ambazo ni wajibu wao kufanya. Na tatizo la pili ni kuona wananchi hawajui ni nini maana ya kodi wanayoilipa na saanyengine wanalipishwa kwa nguvu.
Sioni lolote la maana la kujibu hapa.

Naona unajifurahisha tu kwa kujaza maneno ili bandiko lionekane.
 
'Of course', hata Makaburu Afrika Kusini walikuwa ni nchi, au sio? Maanake hata wao walikuwepo huko UN!

Hata Ian Smith wa Rhodesia alitambuliwa na wengi kuwa alikuwa na nchi.

Kwa hiyo hii hoja yako hapa ni mfano wa hizo nilizozitaja, na nyingi nyingine.

Kwa hiyo hapa unataka tujivunie himaya ya waingereza pia?
Himaya za wareno, wahispania, wafaransa....?

Mbona uko nyuma sana. Wakati ulishapita mbio sana, na wewe ukabaki nyuma? Hiyo itakusaidia vipi!

Bilashaka yoyote unao uhuru wako wa kufikiri utakavyo na kusema utakayo, lakini ukweli ndio ule ule huwezi kuubadilisha.

Makaburu waliwakuta watu kule South Africa na tunayajuwa makabila yaliokuwepo siku zile na ndio yaliopo hadi leo.

Waajemi na Waarabu hawakukuta mtu yoyote Zanzibar na ndio maana hakuna kabila yoyote ya kiafrika kwa mzanzbiari asilia yoyote yule, kama wewe unalijuwa nitajie hata kabila moja tu la kiafrika kwa mzanzibari asilia.

Kabila ya mwanzao kabisa inayotambulikana Zanzibar ya mzbaibari asilia ni ya washirazi. Narejea tena hakuna mzazibari asilia yoyote mwenye kabila yoyote ya kiafrka.
 
Samahani Mkuu

Lakni hii ni fikira potofu kwamba Mzee Karume ndio mwanzilishi Taifa la Zanzibar. Katika historia ya ukweli na karibu tu Zanzibar imeanza kukaliwa na binadamu tangu wakati wa Persian Empire. Hassa Bin Ali na watoto wake saba walisafiri katika pwani za Africa Mashariki na walikuwa wakichukuwa maji hapo Zanzibar kwa ajili ya safari zao. Ndio wakafanya vituo na hatimae makaazi ya mapumziko na mji ukaanza kidogo kidogo na ndio maana Mzanzibari asilia anaitwa Mshirazi. Hassan Bin Ali alikuwa anatokea katika mji mkuu wa Iran sikuzile uitwao Shiraz.
Kwa hiyo Hasan bin Ali na familia yake walikuwa wanakuta mapori hapo?
Haya tuambie na neno zanji/zenji limetoka wapi?
Za kitabuni changanya na zako
 
Taratibu safari zinaanza. 'Bwana yule' angeshatuma mwakilishi. Lakini hapa kidogo kidogo utasikia tunatembelea disneyland
 
Kwa hiyo Hasan bin Ali na familia yake walikuwa wanakuta mapori hapo?
Haya tuambie na neno zanji/zenji limetoka wapi?
Za kitabuni changanya na zako

Mkuu Shabiki

Zenj ni neno la Kiajemi mkuu.

Ikiwa unahisi ninabandikiza tu basi hata haya maneno kama vile kaka, dada, bibi, achari, balunngi, barabara, embe, kombora na meno kama yale yanayopendwa hapa Dar kama vile jambazi, malaya na maneno yanayopendwa huko juu juu kama vile pamba, na maneno telee tu, yanatokana na lugha ya kiajemi na hasa zaidi ya pale katika Mkoa wa Shiraz.

Yaani hata kiswahili kimeundwa zaidi na Kiajemi na Kiarabu wachilia mbali hilo neno Zenji tu. Ikiwa utaka kusoma zaidi ingia katika uzi huo hapo chini.

Back
Top Bottom