Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

Samahani Mkuu

Lakni hii ni fikira potofu kwamba Mzee Karume ndio mwanzilishi Taifa la Zanzibar. Katika historia ya ukweli na karibu tu Zanzibar imeanza kukaliwa na binadamu tangu wakati wa Persian Empire. Hassa Bin Ali na watoto wake saba walisafiri katika pwani za Africa Mashariki na walikuwa wakichukuwa maji hapo Zanzibar kwa ajili ya safari zao. Ndio wakafanya vituo na hatimae makaazi ya mapumziko na mji ukaanza kidogo kidogo na ndio maana Mzanzibari asilia anaitwa Mshirazi. Hassan Bin Ali alikuwa anatokea katika mji mkuu wa Iran sikuzile uitwao Shiraz.
Hata mie hutatanishwa ni hii dhana ya UASISI wa Taifa/Nchi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom