Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

Vituo wanavyo amesema wanasubiri vibali toka nchi walizowapangia acha kupotosha vibali vikija wanaenda kwenye vituo vyao

..nilidhani utaratibu ni balozi kuapishwa baada ya nchi aliyopangiwa kutoa kibali.

..kuna mabalozi wakuu wa idara za wizara ya mambo ya nje hao wanaweza kuapishwa mara baada ya kuteuliwa.
 
Siku too inaletwa kutozwa usku wake sa nne HV nikatumiwa laki mili nilienda kutoa nikakatwa la 8400 cjatumiwa hell zozote adi sas na ilikuwa niendelee kutumiwa ila wamegomaa kutuma
 
Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema

Alipokamatwa Sabaya Mbowe na genge lake walisema mama ni mtenda haki. Sasa hiyo dhulma unayosema ww imetoka wapi? Je unapingana na maneno ya mwenyekiti Mbowe?
Na aliyesema kuwa Sabaya katolewa kafara ni nani vile?

Amandla...
 
"Tulipokea maoni ya wananchi kama wiki moja tangu tozo za miamala mipya zianze, natarajia kupokea ripoti ya kamati niliyoiunda kuhusu suala la tozo na kisha tutachukua hatua.

Niseme tu tozo za miamala ya simu zipo, ila tutaangalia namna nzuri kwamba serikali ipate na mwananchi asiumie.. tutakachoenda kuangalia kama serikali ni njia gani bora tutaitumia kwenye jambo hili baada ya kusikia vilio vyenu, tunataka fedha hizi zikajenge barabara za vijijini""- Mhe. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Why Mama anaapisha mabalozi wengine wasio na vituo? Wanapewa posho, mishahara na magari ya gharama kubwa.

Mwisho wa siku kina Togolani wanashinda Twitter kupost meme.
Dah hizi spana za meli ya mizigoo
 
Bora huyu Mama wa sasa wa Mambo ya Nje. Enzi zile, yule bwana wa jalalani alikuwa anaanza na historia, then anafundisha kiswahili halafu anamsifia mheshimiwa anaenda kukaa.

Bwahaaa, bwahaaaa nimecheka kwa nguvu mpaka bia imetokea puani. Yaani hapa nilipo ni kama namuona Kabudi na yale mamisamiati yake ya kiswahili.
 
"Tulipokea maoni ya wananchi kama wiki moja tangu tozo za miamala mipya zianze, natarajia kupokea ripoti ya kamati niliyoiunda kuhusu suala la tozo na kisha tutachukua hatua.
Anaendelea kuzingua na tozo za miamala, na huku sisi tukiendelea kudemshwa na maisha magumu.
 
Back
Top Bottom