Wasukuma bado tu hamjashtuka hii nchi imerudi kwa watanzania. Mambo ya upendeleo yalishapitwa! Maana mlishajiona miungu watu!

Ila.ashukuruwe sana Mungu wa Mbinguni aliyetuepusha na hili janga! Baba shukrani zijae kwako tele, na utukufu ukurudie wewe mwenyewe!!
 
Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
 
Back
Top Bottom