Mlipeleka ma miradi kibao chato bila kuzingatia bajeti huku mkitegemea kuchepusha hela za maeneo mengine ili ziende kwenye iyo miradi yenu.

Leo mmetoka madarakani mnalalamika hakuna fedha kumbe fedha zilikuwa zinaenda Kwa sababu ya udhalimu wenu!

Hakuna mradi uliopangiwa fedha kwenye bajeti ya serikali na ukakosa fedha!

Nyie tulieni tu
Wewe unaongea vityu usivyovijua tyulia kbsa
 
Wewe unaongea vityu usivyovijua tyulia kbsa
Nitulieje?

Miradi ya kimkakati yote fedha zinatolewa na inaenda kwa kasi! Sgr, Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Uwanja wa ndege Msalato, Ujenzi wa Mji wa Dodoma ikiwemo mji wa serikali.

Hiyo miradi ya Chato inakwama Kwa sababu iliendeshwa kiupendeleo Kwa sababu tu aliyekuwa Rais anatokea huko! Sasa hayupo Hakuna tena kuchepusha pesa za maeneo mengine kwenda huko!

Tulieni tu dawa ziwaingie!
 
Walieleze tatizo kitaalam na sio kisiasa. Huyu katibu muenezi ni mnafiki, kwanini asizungumze moja kwa moja na waziri wa FEDHA - Mwigulu! Anamuogopa nini? Asituletee siasa hapa, Heri pole pole aliyekuwa anawapigia simu mubashara.

Eti chama ndio kikubwa na chenye maamuzi yote. Hayo sisi wananchi tunataka kuyaona kivitendo si ya kutangaza majukwaani tu. Nenda wizara yenye dhamana kaonyeshe misuli yako huko. Ondoka katika LUNINGE zetu hapa.
 
Mrudishe wewe kama unampenda sana. Na hizo fedha za miradi alikua anazitoa mfukoni mwake?
 
Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao
 
Mlipeleka ma miradi kibao chato bila kuzingatia bajeti huku mkitegemea kuchepusha hela za maeneo mengine ili ziende kwenye iyo miradi yenu.

Leo mmetoka madarakani mnalalamika hakuna fedha kumbe fedha zilikuwa zinaenda Kwa sababu ya udhalimu wenu!

Hakuna mradi uliopangiwa fedha kwenye bajeti ya serikali na ukakosa fedha!

Nyie tulieni tu
Huna hoja wala sera, mtu ashakufa, bado anawatesa, mbona chato kulikuwa kunaendelezwa sambamba na kwengineko, mzee tupo Miradini na tunajionea, vitu vingine mfunge mibakuli yenu, mjifunze, hamjui kila kitu mbwiga nyinyi
 
Yeye doto James hizo pesa anakuwa anazitoa wapi....au nchi imekosa mtu mwingine wa kulipa miradi zaidi ya huyo doto james.
 
Mlipeleka ma miradi kibao chato bila kuzingatia bajeti huku mkitegemea kuchepusha hela za maeneo mengine ili ziende kwenye iyo miradi yenu.

Leo mmetoka madarakani mnalalamika hakuna fedha kumbe fedha zilikuwa zinaenda Kwa sababu ya udhalimu wenu!

Hakuna mradi uliopangiwa fedha kwenye bajeti ya serikali na ukakosa fedha!

Nyie tulieni tu
Anadandia hoja ya shaka,Shaka alisema pesa imetolewa lakini mradi haukamiliki..

Swali tunaomba bwana Dotto utuwekee orodha ya miradi ambayo imekwama..

Pili wakati mkiwa madarakani kwa miaka 6 mlikamilisha mradi gani?
 
Back
Top Bottom