Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,696
- 172,647
Kwa sasa ndio inaelekea kaburini kabisa! Watu wanateseka na njaa mitaani nyie mkikaa kwenye vyumba vyenye ac na kupewa posho mnahisi maisha ni mazuri kwa wote. Ipo siku kitatokea kitu cha kustaajabisha sana.Asante mkuu Jf lazima tuheshimu kila mtu na tupishane kwa hoja tu kwani sote ni watanzania,
Ila Mama hajawahi kuniangusha mkuu wangu,
Hii nchi ilikuwa inaelelekea shimoni lazima tuwe wa kweli na Mungu atatubariki kwa ukweli wetu,
Mtaani vitu bei juu pesa haipatikani