Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,333
- 7,486
Sasa ndio kina Zitto wamekaa na kumteua wakampa Samia jina au ni mimi ndio sielewi umuhimu na kazi ya kamati ya Zitto ..👇🏾Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .
Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?