Sasa lakini mkuu mtu akiona ni udhaifu atafanya nini mfano?..au atafanya nini kwa kutumia hiyo advantage?..Ni heshima ila mtu anaweza ku take advantage kwa kudhani ni udhaifu... mi naona aache kuinamisha kichwa... itamfanya azidi kuwa na Authority
Umenipata kabisa hapo... Amuangalie Markel wa ujerumani ajifunze zaidiAnaweza kufanya hivyo kwa masheikh na Maaskofu haha nyumbani , lakini kwenye International arena it is a no no haitamsaidia yeye na nchi pia!! Just for reference muangalie yule mama Harris VP wa ubeberuni!!!
Kwenye negotiation sio body language ambazo zinatakiwaSasa lakini mkuu mtu akiona ni udhaifu atafanya nini mfano?..au atafanya nini kwa kutumia hiyo advantage?..
Ni nani huyu?
Yaaah, bado hajakaa sawa. Imagine Waziri wake wa Mambo ya Nje, Kabudi alivyokuwa na confidence 101% hata PM alilimudu jukwaa vizuri. Mama Samia kama Rais wa Jamhuri alitakiwa awe na confidence zaidi ya hao. All in all she is goodKuinamisha kichwa ni kama gesture wanayofanya baadhi ya mabinti wanaposalimia wakubwa ?..au vipi?,sijaelewa.
Sema Mama akisimama imara na kutenda haki na kuboresha mambo uliyoyaorodhesha na mengine kama ajira,biashara na uwekezaji,afya n.k basi atapendwa sana..nani atakayemchukia mama?..sioni
Huyu ni Balozi wetu Uingereza (kama bado) kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kabla alikuwa Waziri na mwaka 2015 aliingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais na ni mmoja kati ya wanawake wawili na Magufuli waliopendekezwa na Chama kuteuliwa kugombea. Magufuli ndo aliyeteuliwa lakini niseme tu wanawake wote wawili walikuwa better Presidential material.Ni nani huyu?
Kwani udhaifu ni kuinama au ni matendo yako!Ni heshima ila mtu anaweza ku take advantage kwa kudhani ni udhaifu... mi naona aache kuinamisha kichwa... itamfanya azidi kuwa na Authority
Kwanini, tatizo liko wapi? Wewe unataka afanye nini? Atishe watu au awaje?Kwa India na Japani ni sawa ila kwa mazingira yetu ya Africa sio appropriate sana.
Nafkiri msibaMama Samia should learn to look people in the eye ; that is a sign of strength!!! Rais hutakiwi kuonekana mnyonge; kwani una dhamana ya watu million 60 na Ardhi yote ya nchi!! Rais chukua ushauri lakini Sio lazima uufuate, uamuzi ni wako kwani wewe ndio muwajibikaji.
Mwenda kwao kwa tabia yake ya kutumia maguvu kwa kila kitu amewaharibu sanaNi kuonesha heshima ila kwa Rais sioni kama ni jambo la lazima kufanya. Ni mtizamo lakini. ila sio kitu poa.. wajuvi watuambie embu kama kuinamisha kichwa ni sahihi kwa mtawala kufanya.
Mmezoea viongozi wakatili,wanaodhani nchi ni yao.Ni heshima ila mtu anaweza ku take advantage kwa kudhani ni udhaifu. Mi naona aache kuinamisha kichwa. Itamfanya azidi kuwa na Authority
Ni makosa makubwa kuitegemea Kenya kama mshirika muhimu kwetu.siano na nchi majirani - Haukua mzuri, na hususani uhusiano na jirani yetu Kenya ambaye tuna muingiliano mkubwa sana wa kibiashara na kijamii kuliko majirani wetu wote. Ila kwa namna ya namna alivotoa hotuba yake, nna imani sana kwamba ataboresha na kuponya haya mahusiano na majirani
Ngoja aje mkalimaniNgoja waje wachambuzi
Says who? Mabeberu! au 'sterityping' ya kijinsia/kitamaduni?Mama Samia should learn to look people in the eye ; that is a sign of strength!!