Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Maisha haya kweli Mungu hupanga wakati wanadamu huwaza tu...

Mzee Lowassa yupo vizuri kabisa, wakati waliokuwa wakimkejeli kwa mipush ups miaka ile sijui hata wapo wapi...
Vyuma wako wanaliwa na kutu.
 
Vyuma wako wanaliwa na kutu.
Best hatuna haja ya kuwacheka wafu kana kwamba sisi tupo hapa siku zote! Sema kwa vile unaongea kishabiki bila kutumia ubongo sawa! Huyo Lowassa unayemsema naye hana siku nyingi atawafuta kama mimi na wewe tutakkavyowafata! Biblia inasema siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi azo zimejaa shida na mateso!
 
Laigwanan El Commandante Edward Ngoyai Lowassa💪

Siempre CCM🙏
Aisee. Inafikirisha. Lowassa ni fumbo kubwa sana huko CCM. Huwa anatambulishwa kama kubwa la mafisadi Tanzania (fisadi papa) na CHADEMA wanapondwa sana kwa kuacha kampeni dhidi ya ufisadi baada ya kumchukua “fisadi mkuu” Lowassa kuwa mgombea wao wa uRais 2015.

Kwenye kampeni za 2015 CCM walimfananisha EL na kila takataka ya kibinadamu.

Baadaye Magufuli akamkaribisha CCM na kudai kuwa ni mtu “mstaarabu sana” asiyekuwa na kauli za kisiasa za kuudhi.

Sasa Lowassa anatambulishwa kama great statesman! Uongo, ghilba na unafiki vinaiangamiza Tanzania.

Believe me, ipo siku watu kama Mbowe na Lissu watatambulishwa kama GOAT Statesmen katika siasa za nchi hii. Na baadhi ya watu watakuwa Mirembe kwa kuchanganyikiwa.
 
Best hatuna haja ya kuwacheka wafu kana kwamba sisi tupo hapa siku zote! Sema kwa vile unaongea kishabiki bila kutumia ubongo sawa! Huyo Lowassa unayemsema naye hana siku nyingi atawafuta kama mimi na wewe tutakkavyowafata! Biblia inasema siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi azo zimejaa shida na mateso!
Busara hii inatakiwa kuwepo kwa watu wote, wakati wote, mahali pote. Sio selectively.
 
Mzee Lowasa, mzee wa hekima. Alienda CHADEMA bila ya kejeli kwa CCM, akarudi CCM bila ya kejeli kwa CHADEMA.

Aliambiwa anagombea Urais wakati yeye ni wa kufa wakati wowote, hakusema kitu zaidi ya, "maisha ya mwanadamu hupangwa na Mungu", na hakika Mungu kampangia aendelee kuishi, sawa na alivyopanga wengine watangulie ili yeye ashuhudie kuondoka kwao badala ya wao kushuhudia kuondoka kwake.

Pamoja na tofauti zozote zile, Lowasa could have been a better president than what we got in 2015.
Lowassa atabakia kuwa mmoja wa viongozi wenye hekima sana kuwahi kutokea...Pamoja na kupigwa vita na akina Ridhiwani na group lake lakini bado mzee Lowassa alivumilia
 
Wanabanikwa kama ndafu huko jehan

Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.

HUYU EDAWARD SIO WA MZAHA KI HIVYO...HEAVY PERSON....HUYU BILA KUTUMIA NJIA HARAMU KUPAMBANA NAE HUWEZI...KIKWETE ALITUMIA HARAMU KUMNYIMA HAKI HUYU BWANA.....MAMA AMEELEKEZWA KUOMBA USHAWISHI KWA HUYU BWANA.....MAGUFULI ALIFANYA HARAMU ZOTE HUYU BWANA AJE UPANDE WAKE at last LOWASSA akarudi magu akatulia....UHARAMU HADI WA KUSHIKILIA MAHABUSU MKWE WA LOWASSA BWANA SIOI KWA ZAIDI YA MIAKA 4 .....KWA KIFUPI MAMA ANAANGAIKA NA KUPITISHWA CCM 2025
 
Usiseme hivyo aisee, kifo ni Majaliwa na maulana. Ndio maana toka wanasema atakufa wameishia kufa wao na pesa zao Ila huyu bado siku yake haijafika.

Siku ya kifo ikifika pesa huwa haisaidii kitu, angalia akina Steve Jobs etc.
Hela zinaongeza siku mkuu kubali kataa ila hao unaowazungumzia pia kama sio hela wangekufa mapema zaidi ya hapo kuna watu wanaenda kubadlisha damu mkuu kila wiki yote hii ni ela wangekua hawana ?
 
Vyovyote vile hata ikiwa korona wewe unafikili korona ingemkuta raisi ni kikwete au mama saa mbovu" mambo yangekuwaje tungepigwa lockdown na polisi wangeua watz wengi sana ,njaa na umasikini ungekuwa mara 10 ya sasa magufuli katuvusha sehemu muhimu sana
Kwenye hili JPM alicheza kama Pele, Mwenyezi Amrehemu. Hawa wazururaji wa Ulaya na Marekani wangetuumiza vibaya sana na lockdowns. Just imagine Waganda mpaka leo watoto hawaendi shule, miezi 19.
 
Back
Top Bottom