dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,121
- 49,376
Jiwe usingethubutu kufungua hiyo clip Mzee! PhD fake!All what we can ...hahaha kiingereza kamzidi magu lakini

Ahh yule jamaa hapana alikuwa anaongea sijui kiingereza cha wapiJiwe usingethubutu kufungua hiyo clip Mzee! PhD fake!
IQ ndogo sana yule kiumbe.Ahh yule jamaa hapana alikuwa anaongea sijui kiingereza cha wapi
Ignorance is lack of knowledge, understanding, or information about something; on this context, itinerary ya mkulu inafahamika na wasaidizi wake na bila shaka sio public docx ili wapiga kura wa 2025 wawe na sehemu ya kushauri nini kifanyike pale mkulu akikutana na wakulu wenzie.I hope there is trade mission in the entourage. As citizens we are ignorant of the itinerary
Unataka wawekezaji wagawe panadol za bure?Kikwete aliifungua mara 900 na watanzania bado hawana panadol
Ripoti kwa asilimia kubwa inahusu awamu ya 5Huyo Samia amekimbia ripoti ya CAG Hana lolote
Comment isiyo na busara hii kwa Rais wa nchi. Haipendezi ndugu. Umekosa maneno ya busara kujadili hoja?🙏🙏🙏Huyo Samia amekimbia ripoti ya CAG Hana lolote
mbona ni wote tu viingereza vyao chenga vya kusoma kwenye karatasi, juzi nlimskia Ummy Mwalimu nikacheka sana sema freshi tu lugha yenyewe ya kuazima.All what we can ...hahaha kiingereza kamzidi magu lakini
Umbwa kabisaPongezi kwa Mhe. Rais Samia na Makamu wa Rais wa Marekani.
Hakika Rais Samia anaupiga mwingi haijawahi kutokea.
Kwa mwendo huu wa Mhe. Rais Samia tutegemee mambo makubwa sana kwa maendeleo ya Nchi yetu.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani.
"Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris
“Nashukuru sana uwepo wangu hapa, nashukuru sana Makamu wa Rais kwa kunikaribisha hapa, hii ni mara yetu ya kwanza tunakutana, hivyo natumia nafasi hii kumpongeza Rais Joe Baden na wewe pia Makamu wa Rais kwa kushinda uchaguzi mwaka 2020,” – Rais Samia
“Tanzania tilikuwa tunafuatilia uchaguzi wenu, kwa mara ya kwanza kulikuwa na mwanamke katika nafasi ya kuwa Makamu wa Rais, hilo lilituvutia.
“Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania naipongeza Serikali ya Marekani kwa msaada mkubwa wa maendeleo ambao mmekuwa mkitupatia kupitia USAID kwa miaka mingi hasa katika maendeleo ya kijamii,” Rais Samia.
“Kuhusu Covid-19, Nchi yangu ipo katika hali nzuri na imekuwa ikipata msaada kutoka Marekani, kuna chanzo zaidi ya dozi milioni tano ambazo tumepata kutoka Marekani.
“Kuhusu haki za binadamu na demokrasia, Tanzania imepiga hatua kubwa katika masuala hayo, ambapo tumefanya juhudi kubwa kuhakikisha kuna umoja, mshikamano na heshima kwa Watanzania wote,” Rais Samia.
"Kuhusu biashara na uwekezaji, tunajua tunatakiwa kutengeneza mazingira rafiki ya biashara, Serikali yangu inashirikiana na sekta binafsi, ninachoomba ni Marekani kushawishi sekta binafsi kuja Tanzania kufanya biashara na sisis, tunawakaribisha sana," Rais Samia.
“Napenda pia kukutaarifu Makamu Rais kuwa nikiwa hapa Marekani, nitazindua #TheRoyalTour ambayo ni programu inayolenga kuonesha uwezo wa Tanzania katika sekta za Utalii na Uwekezaji," Rais Samia.
“Kuichagua Marekani kuwa sehemu ya kufanya Uzinduzi si bahati mbaya, tulifanya hivyo makusudi, lengo ni kuufanya mradi uonekane duniani kote, ili watu wengi wafike Tanzania kutembea,” Rais Samia.
All what we can ...hahaha kiingereza kamzidi magu lakini
Sukuma gang hata mje na paukwa ipi hatuwezi kuwaamini kamwe. Mliwahi kutudanganya kuwa sisi ni nchi tajiri na tunatakiwa kuuza nguo za mitumba huko Uraya na Amerika....kenge wahed nyie!
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani.
"Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris
“Nashukuru sana uwepo wangu hapa, nashukuru sana Makamu wa Rais kwa kunikaribisha hapa, hii ni mara yetu ya kwanza tunakutana, hivyo natumia nafasi hii kumpongeza Rais Joe Baden na wewe pia Makamu wa Rais kwa kushinda uchaguzi mwaka 2020,” – Rais Samia
“Tanzania tilikuwa tunafuatilia uchaguzi wenu, kwa mara ya kwanza kulikuwa na mwanamke katika nafasi ya kuwa Makamu wa Rais, hilo lilituvutia.
“Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania naipongeza Serikali ya Marekani kwa msaada mkubwa wa maendeleo ambao mmekuwa mkitupatia kupitia USAID kwa miaka mingi hasa katika maendeleo ya kijamii,” Rais Samia.
“Kuhusu Covid-19, Nchi yangu ipo katika hali nzuri na imekuwa ikipata msaada kutoka Marekani, kuna chanzo zaidi ya dozi milioni tano ambazo tumepata kutoka Marekani.
“Kuhusu haki za binadamu na demokrasia, Tanzania imepiga hatua kubwa katika masuala hayo, ambapo tumefanya juhudi kubwa kuhakikisha kuna umoja, mshikamano na heshima kwa Watanzania wote,” Rais Samia.
"Kuhusu biashara na uwekezaji, tunajua tunatakiwa kutengeneza mazingira rafiki ya biashara, Serikali yangu inashirikiana na sekta binafsi, ninachoomba ni Marekani kushawishi sekta binafsi kuja Tanzania kufanya biashara na sisis, tunawakaribisha sana," Rais Samia.
“Napenda pia kukutaarifu Makamu Rais kuwa nikiwa hapa Marekani, nitazindua #TheRoyalTour ambayo ni programu inayolenga kuonesha uwezo wa Tanzania katika sekta za Utalii na Uwekezaji," Rais Samia.
“Kuichagua Marekani kuwa sehemu ya kufanya Uzinduzi si bahati mbaya, tulifanya hivyo makusudi, lengo ni kuufanya mradi uonekane duniani kote, ili watu wengi wafike Tanzania kutembea,” Rais Samia.
wanawekaza kwa bila nishati nishat yenyewe ni ya kukatikakatika bile umeme wa kutosha hakuna uwelezajiUmemsikia huyo VP kashasema mpaka leo tayari kuna uwekezaji unakuja wa $1B ! kutoka US inawezekana hii safari ikawa na baraka sana
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani.
"Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris
“Nashukuru sana uwepo wangu hapa, nashukuru sana Makamu wa Rais kwa kunikaribisha hapa, hii ni mara yetu ya kwanza tunakutana, hivyo natumia nafasi hii kumpongeza Rais Joe Baden na wewe pia Makamu wa Rais kwa kushinda uchaguzi mwaka 2020,” – Rais Samia
“Tanzania tilikuwa tunafuatilia uchaguzi wenu, kwa mara ya kwanza kulikuwa na mwanamke katika nafasi ya kuwa Makamu wa Rais, hilo lilituvutia.
“Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania naipongeza Serikali ya Marekani kwa msaada mkubwa wa maendeleo ambao mmekuwa mkitupatia kupitia USAID kwa miaka mingi hasa katika maendeleo ya kijamii,” Rais Samia.
“Kuhusu Covid-19, Nchi yangu ipo katika hali nzuri na imekuwa ikipata msaada kutoka Marekani, kuna chanzo zaidi ya dozi milioni tano ambazo tumepata kutoka Marekani.
“Kuhusu haki za binadamu na demokrasia, Tanzania imepiga hatua kubwa katika masuala hayo, ambapo tumefanya juhudi kubwa kuhakikisha kuna umoja, mshikamano na heshima kwa Watanzania wote,” Rais Samia.
"Kuhusu biashara na uwekezaji, tunajua tunatakiwa kutengeneza mazingira rafiki ya biashara, Serikali yangu inashirikiana na sekta binafsi, ninachoomba ni Marekani kushawishi sekta binafsi kuja Tanzania kufanya biashara na sisis, tunawakaribisha sana," Rais Samia.
“Napenda pia kukutaarifu Makamu Rais kuwa nikiwa hapa Marekani, nitazindua The Royal Tour ambayo ni programu inayolenga kuonesha uwezo wa Tanzania katika sekta za Utalii na Uwekezaji," Rais Samia.