Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

Uzi wote huu unazungukazunguka tu,wewe nenda tu kwenye pendekezo lako kuwa awafukuze Gwajiboy na Polepole hapo ndo mtajua kwanini JK aliimbiwa mbele yake tunaimani na Lowassa.
Watu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!

Hao walioimba wana imani na lowassa walimfanya awe rais?

Rais Samia anaweza kuwafanya chochote kina Gwajima na polepole na wakasahaulika kabisa katika ulimwengu wa siasa. Kwa kuwa hawana tidhio lolote la kisiasa,na kwa kuwa Samia ni muungwana,anawaangalia tu! Lakini they are nothing!
 
Mkuu achana nae huyo . Waliishia kumuimbia lakini mwishowake walisanda
 
Kwenye nyumba baba huwa anatambulika automatically, Ukimsikia Baba anasisitiza 'Mimi ndio baba humu ndani' ujue kuna tatizo hapo
 
Watu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!

Hao walioimba wana imani na lowassa walimfanya awe rais?

Rais Samia anaweza kuwafanya chochote kina Gwajima na polepole na wakasahaulika kabisa katika ulimwengu wa siasa. Kwa kuwa hawana tidhio lolote la kisiasa,na kwa kuwa Samia ni muungwana,anawaangalia tu! Lakini they are nothing!
Kama si Mkapa na akina Malechela Kikwete alikuwa amefika mwisho wa upeo wake ndo maana chaguo lake la Membe likatupwa huko wakaweka wanayemtaka wao Jiwe.
 
Ugaidi wa laki 6? Hivi tuna akili sisi?
kwani kwa akili yako wewe ugaidi unaanzia kiasi gani mkuu wacha ushabiki maandazi mbowe kwanza kawaibia sana ila mnajifanya hamjui alipewa hea ya kujenga ofisi kala yote bado mnakenua meno kusema siyo gaidi mbowe???????????
 
Uzi wote huu unazungukazunguka tu,wewe nenda tu kwenye pendekezo lako kuwa awafukuze Gwajiboy na Polepole hapo ndo mtajua kwanini JK aliimbiwa mbele yake tunaimani na Lowassa.
kwaiyo baada ya kuimbiwa Lowasa akashinda au akashindwa?
 
Halafu mbona anapokuwa anongea katika kipaza sauti anakuwa anahema juu juu ni kwamba bado hajazoea kusimama mbele ya hadhira ama anashida ya kuumwa kifua kwa muda mrefu?
 
katiba mpya haitakuletea pesa ya kula na familia yako fanya kazi ulishaona nchi gani ilibadirisha katiba ikatulia yaani ndiyo kwanza zinaleta migongano nchini
Wewe ndio zero kabisa lakini tunaheshimu maoni, muache kuwatisha na kuwafunga watu kwa ajiri ya maoni yao, tukutane sanduku la kura bila wizi na polisi
 
kwani kwa akili yako wewe ugaidi unaanzia kiasi gani mkuu wacha ushabiki maandazi mbowe kwanza kawaibia sana ila mnajifanya hamjui alipewa hea ya kujenga ofisi kala yote bado mnakenua meno kusema siyo gaidi mbowe???????????
Wewe mkuu ni takataka nimeamua kukidharau! Kweli majina tunatunga humu yanasaidifu tulivyo, kikwetu Iboya ni "boya" yaani huna kitu mgichwa!!
 
Back
Top Bottom