Rais Samia, sitisha uchoraji wa vibonzo mara moja

Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6

Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.

Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.

Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.

Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.

Uzi tayariView attachment 1968090
System failure again.
 
Tutaendelea kuchora na kuzirusha kwa kutumia VPN
 
Huyo mchoraji ana kundi la watu wengi nyuma wanamtegemea ...aniwei sawa
Wewe hapo unamtegemea mchora vibonzo?
Kwa hiyo huna cha kufanya bali akili yako umempa mtu wa vibonzo au una maanisha watu gani hao?

Hao wanaomtegemea mtu wa vibonzo anawapa nini mpaka wawe tegemezi.kwake?

Tanzania bhana yaani watu hawaeleweki.
 
Kiazi mbatata👇😁😁😁
1633627952_1633627952-picsay.jpg
 
ha, yaani wachora vikatuni ndo waitishe ccm?!! itakuwa hawaijui na hawajijui kama hawaijui..........wamechemka majabari itakuwa hao wanenguaji!!!!!
 
Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6

Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.

Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.

Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.

Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.

Uzi tayariView attachment 1968090
Mama yenu ameanza kunogewa ikulu ameshanzaa mambo ya mwendakuzimu
 
Wewe hapo unamtegemea mchora vibonzo?
Kwa hiyo huna cha kufanya bali akili yako umempa mtu wa vibonzo au una maanisha watu gani hao?

Hao wanaomtegemea mtu wa vibonzo anawapa nini mpaka wawe tegemezi.kwake?

Tanzania bhana yaani watu hawaeleweki.
Angalia usiwe wewe ndie usiye jielewa.

Unadhani huyo aliye kamatwa hana ndugu jamaa wala rafiki wanao mtegemea..?
 
Kama wewe ulishasalimisha ubongo wako huko CCM iishie kwako. Sio kila mtu na sio lazima kumuunga mkono samia. Nyie wenyewe huko CCM hamumtaki
 
Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6

Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na kamata kamata ya kimya kimya kwani hivi jana usiku wamemkamata mchoraji wa tattoo aitwaye Ronny. Yupo kituo cha polisi Kawe wakimhusisha na kundi linaloikosoa serikali.

Wasanii wachoraji Vibonzo wanaelewa namna wanavyowindwa na wameamua kujipanga kuachana na kuiunga mkono CCM 2025.

Kwa taarifa kutoka kwa wakili ws Opptertus, tayari ameshapata dhamana leo mahakama ya Kinondoni.

Hivyo, badala ya amri za kuwakamata na kuwaminya kimya kimya, itakuwa busara kuharamisha uchoraji wa katuni za kisiasa.

Uzi tayariView attachment 1968090
Hamuwezi kutulazimisha kumpenda au kumfuata
 
Back
Top Bottom