Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Naona Bado hamtaki kujifunza kilichomtokea Magufuli...ghadhabu ya Mungu juu yenu bado inawaka subirini tu
 
CHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Tumemuona alivyolinda kiti chake cha UENYEKITI mpaka kwa kumwaga damu. Kwa nini wasimsikilize Rais SSH aliposema Katiba isubiri kwanza ajenge uchumi?

Mbona waliufyata kwa Mwendazake ambaye alikuwa katili kupitiliza? Wananchi watawachoka kwa kuwa chama cha harakati na matukio. Kajipangeni namna ya ku-deal na Rais SSH. Wananchi wanamkubali anavyochukua hatua kupanga uchumi.

Na Katiba hajakataa, kasema nipeni muda.

Lakini akina Mbowe wanataka wamuendeshe kama gari bovu? HAPANA huyu ni Rais wetu wote na anayoyafanya tunayaona
Wanafanya mambo ya kipuuzi halafu wanataka kuchekewa na kuitwa ikulu ili wakale sambusa za nyama na juice pamoja na chai wakitoka huko waseme Rais ni dhaifu!.
 
Naona Bado hamtaki kujifunza kilichomtokea Magufuli...ghadhabu ya Mungu juu yenu bado inawaka subirini tu
Magufuli aliishi na kifaa ndani ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi, siku yake ilifika.

Kuwshughulikia wanaojifanya vichwa ngumu hakuna uhusiano na kifo cha mtu huwezi kufanya ujinga ukategemea kutisha watu kwa tiketi ya laana ya Mungu, hakuna dhana kama hiyo.
 
Hapa anaupiga mwingi kweli, mie mtu akiwa imara na kukataa kupelekeahwa namkubali.
Mama hapa kawakabia juu, hamna kuchomoka
Wanafanya mambo ya kipumbavu halafu wanakuja na vitisho vya kifo. Nani kaumbiwa kuishi milele juu ya dunia hii?.

Wanakufa mapapa wa Vatican sembuse marais wa nchi hizi za afrika!.

Mama awapelekee spana mwanzo mwisho.
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.

Utter Non Sense.
 
Ukatili.
 
Wanafanya mambo ya kipumbavu halafu wanakuja na vitisho vya kifo. Nani kaumbiwa kuishi milele juu ya dunia hii?.

Wanakufa mapapa wa Vatican sembuse marais wa nchi hizi za afrika!.

Mama awapelekee spana mwanzo mwisho.
Ukatili imekuwa sera yenu. Mungu atashughulika nanyi!
 
Punguzeni drama watu wafanye kazi ya kukuza uchumi ulioyumba baada ya corona kuitikisa dunia.
Wewe unaona drama watu kujadili katiba. Serious?
Mnaua spirit ya mijadala na confidence ya Vijana.
Hujui kama ni kujenga uelewa wa Elimu ya kiraia?
Mbona CCM mnapenda kufanya watu waendelee kuwa wajinga?
Mjue tu Mungu hana upendeleo!
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Safi kabisa,mtu wa kawaida kijijini hahitaji katiba mpya,anahitaji maendeleo. Mambo ya katiba mpya ni mkakati mchafu wa mabeberu wa kuyumbisha nchi zetu na hivyo kutawala kirahisi na kuweza kuleta vurugu na vita vya wenyewe kwa wenyewe at a time of their choosing.Ni kweli wapigwe pini tu hawa hatuwahitaji.
 
Wewe unaona drama watu kujadili katiba. Serious?
Mnaua spirit ya mijadala na confidence ya Vijana.
Hujui kama ni kujenga uelewa wa Elimu ya kiraia?
Mbona CCM mnapenda kufanya watu waendelee kuwa wajinga?
Mjue tu Mungu hana upendeleo!
Mmeambiwa na rais tulieni kwanza tuna hali sio nzuri kiuchumi, suala la katiba mpya linahitaji pesa, je mnazo kwa sasa?.

Mkijifanya vichwa ngumu mtapigwa na makarai vichwani, tulizeni mizuka hiyo.
 
Back
Top Bottom