Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Kwahiyo wewe unaona heri kumpa alienacho na kumnyima asie nacho. Aliekuwa anawapa wanyonge leo anaonekana ni mshamba.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Hii nchi bado ina watu wapumbaf sana aisee!, ndio hao waliokuwa wakishangilia akina Rugemalila na wezi wengine wakiliibia Taifa hili na Magu alipokuja kuwasweka ndani, walimuandama wakidai Rais ana roho mbaya, sijui anachukia watu wenye mafanikio!
 
Watanzania hatujui tunataka nini...
Jk alipokuwa ansafiri watu walilalamika
Magu alipokuwa hasafiri walilalamika
Ssh kaenda ug,Kenya wakaanza ohh anaanza
Safari

Ova
 
Mkuu, hilo la kugawa pesa halikuwa na tija yoyote, zaidi ya kiki tu ....
Haliwezi kuwa na tija kwa upande wako kwakuwa pengine hukupata fulsa hiyo, wacha roho ya ubinafsi.
Ukipitia youtube na kuona waliokuwa wakipewa fedha hizo walikuwa ni watanzania wa aina gani au wanachangamoto zipi,hutorudi hapa kubwabwaja😎
 
Benz Ni gari salama zaidi imara na hula Mafuta kidogo lina technology ya AMG, hongera Sana, nadhauri viongozi waachane na hii mi V8 kilasiku inawagalagaza
 
Wakati tukiona mamilioni ya kodi zetu yakitumika kuwanunulia wastaaafu magari ya kifahari, maabilion yakiwajengea mahekalu, tupo pia sisi tuliotoa huduma kwa serikali yenu hatujalipwa kwa mda mrefu mpaka wengine tumefilisika.

Tunakuomba, japo ni haki yetu, tuangalie kwa jicho la kimama katika ufalme wako. Wanasiasa muache tabia ya kujiona kuwa nyie mna haki kuliko wengine, kumbuka machozi ya wanyonge yana athari nyingi
 
Inasikitisha sana jinsi CCM wanavyoendesha nchi hii ndio maana hawataki mabadiliko ya katiba, tuamke watz.
 
Tatizo ni la WATANZANIA wenyewe sio marais. Watanzania kwa asili ni watu wa binafsi hata siku moja hatuwezi kufikiria watu wengine.
 
Juzi amesema uchumi wetu umeshuka kutokana na Janga la Corona, binafsi nilitegemea serikali ingejikita katika matumizi ya Msingi tu kuliko Matumizi ya anasa ya namna hii yasiyo na tija wala manufaa kwa nchi hii.
Kubana matumizi. Kuwekeza vijijini kwenye barabara, umeme na maji. Nchi hii haitaendeleakama mjini peke yake ndio kuna maendeleo. Leo hii tumeweza kwa asilimia 100 kula chakula chetu, sababu vijijini wanazalisha.
sasa tuwaunge mkono kwa barabara, umeme na maji ili maendeleo yawe kweli ni maendeleo
 
Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa CCM madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Muacheni mama afanye kazi na muacheni mzee Mwinyi apumzike, ameitumikia nchi hii kwa uaminifu mkubwa, tumuache apumzike na apate stahiki zake. Mama ametenda sawasawa na hata ningekuwa mimi nisingevumilia kumuona mtu aliyelitumikia taifa hili kwa juhudi na nguvu kubwa akitaabika na mambo madogomadogo kama hayo nikakaa kimya, lazima ningefanya jambo. Tujifunze kuwaenzi viongozi wetu ili hawa waliopo madarakani wakati huu walitumikie taifa kwa uzalendo uliotukuka wakiwa na imani tutatambua mchango wao baada ya uongozi.
 
Back
Top Bottom