Rais Samia: Semeni na tuleteeni Viongozi wasiowajibika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi"

Akizungumza na Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja kuwatumikia, kuanzia Mkuu wa Mkoa kushuka huko chini. Kama tunaleta Kiongozi hawajibiki, hafanyi kazi zake vizuri tuambieni tutabadilisha tuwaletee mwingine"

866FA03E-8578-43F1-AD10-D05470705DE4.jpeg
 
Sasa Tony Blair wa kazi gani kama tunajidai na viongozi wetu? kwani Mulamula hafai au hatoshi?

Kama naona kiongozi mkuu ndie mwenye mapungufu nikaseme kwa nani ili atolewe?
 
Safi sana lazima uwajibike kuwatumikia watanzania unapo pewa dhamana jitume na usibweteke na kazi iendele
 
Tukisema mnaanza kututafuta kututeka, kututesa na kutubambikizia kesi:
Hawa ndio hawafai:
1. Dr. Mpango
2. Mwigulu
3. Gavana wa BOT huyu alishirikiana na kina Mpango kufilisi na kunyang'anya fedha wafanyabiashara wakiwemo wale wa maduka ya kubadilishia fedha
4. Doto James...R.I.P Lwajabe
5.Kamanda Siro...utekaji, uuaji, ubambikiaji kesi umefanyika chini yake.
6. Doto James
7. Kenani Kihongosi...huyu ndio alikuwa anampa kampa Ole Sabaya pale Arusha
8. Ali Hapi
 
Back
Top Bottom