Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,710
- 93,435
Seen🚶🚶🚶🙄
Seen🚶🚶🚶🙄
Yap! The speed seems to be to high to be safe.asifanye haraka apitie taratibu serikali ni yake hii
Aliwambia raia wakati wa kampeni: "Hata mkiwachagua wengine; CCM itaunda serikali tu". Dhambi hii nayo itazidi kumtafuna. Tusubiri kuona.Sema kasi yake kidogo inashida
Hana jipyaAliwambia raia wakati wa kampeni: "Hata mkiwachagua wengine; CCM itaunda serikali tu". Dhambi hii nayo itazidi kumtafuna. Tusubiri kuona.
Mara paap.Aliwambia raia wakati wa kampeni: "Hata mkiwachagua wengine; CCM itaunda serikali tu". Dhambi hii nayo itazidi kumtafuna. Tusubiri kuona.
Mkuu, umeongea kitumishi kabisa, Naamini siku moja ipo ambayo itakuwa ni Kwa ajili yako kukaa na kulisaidia Taifa lako, Mimi Naamini wewe binafsi ukipata nafasi utatenda haki na Kwa ufanisi mkubwa, Wengi ambao akili zao huruhusu ziamue Jambo Kwa kumsikiliza Mungu kwanza bila mihemko ya watu na presha zao, hufanya mkuu mnoKwako Mheshimiwa,
Pole kwa majukumu magumu uliyonayo katika kuhakikisha tunapiga hatua.
Pia nikupongeze kwakuonesha kwamba wewe ni msikivu hasa kwa uteuzi na utenguzi wa kiongozi wa TPDC.
Lengo la ujumbe huu nikukuongozea technique au ushauri katika awamu yako,
Mheshimiwa Rais, nadhani unafahamu kabisa kwamba mpaka sasa unakambi mbili au zaidi zinazovutana wapate nafasi kukushawishi wapate teuzi si kwa maslai ya taifa au kukusaidia bali kwa maslai yao binafsi au kukuangusha.
Mama kwenye suala la teuzi kama kuna watu wanakushauri pokea kwa jicho la tatu ushauri wao, lakini maamuzi makubwa yatokane na dhamira yako ya dhati ya kuisaidia nchi yetu.
Kama Rais mwanamama tunatamani uache alama dhabiti katika uongozi ili wanamama (wanawake) wapate kujivunia hata sisi kama taifa tutembee kifua mbele kua na rais aliyehudumu vipindi vyote kwa mafanikio.
Mtangulizi wako pamoja na changamoto zilizoonekana lakini alijitahidi saana kutokufungwa na uchama akitafuta watu pottential katika nafasi nyeti, hivo kwakua hili ni jema si mbaya ukaliiga ilikuleta tija kwenye uongozi wako.
Tunaimani hakuna hata mmoja aliyekupa hio nafasi zaidi ya Mwenyezi Mungu (Allah) hivyo hauwiwi kumlipa mtu fadhila hapo zaidi ya kufanya HAKI na ADILI kama shukrani kwake.
Asalaam Aleykum.
Tumsifu Yesu kristo.
Kama ni mwislamu original kwanza hiyo asallam aleykum sio salaam ya kiislam,ni neno tu lenye maana salaam kwa wote pili huruhusiwi kusema Yesu asifiwe.Waislamu hawamtambui Yesu bali Nabii Issa.Bora uandike maoni yako,mwisho uandike Ahsanteni.Tena usithubutu kuandika neno Shukrani.Binadamu Hashukuriwi kamwe,ila Shukran ni za ALLAH pekee.Kwako Mheshimiwa,
Pole kwa majukumu magumu uliyonayo katika kuhakikisha tunapiga hatua.
Pia nikupongeze kwakuonesha kwamba wewe ni msikivu hasa kwa uteuzi na utenguzi wa kiongozi wa TPDC.
Lengo la ujumbe huu nikukuongozea technique au ushauri katika awamu yako,
Mheshimiwa Rais, nadhani unafahamu kabisa kwamba mpaka sasa unakambi mbili au zaidi zinazovutana wapate nafasi kukushawishi wapate teuzi si kwa maslai ya taifa au kukusaidia bali kwa maslai yao binafsi au kukuangusha.
Mama kwenye suala la teuzi kama kuna watu wanakushauri pokea kwa jicho la tatu ushauri wao, lakini maamuzi makubwa yatokane na dhamira yako ya dhati ya kuisaidia nchi yetu.
Kama Rais mwanamama tunatamani uache alama dhabiti katika uongozi ili wanamama (wanawake) wapate kujivunia hata sisi kama taifa tutembee kifua mbele kua na rais aliyehudumu vipindi vyote kwa mafanikio.
Mtangulizi wako pamoja na changamoto zilizoonekana lakini alijitahidi saana kutokufungwa na uchama akitafuta watu pottential katika nafasi nyeti, hivo kwakua hili ni jema si mbaya ukaliiga ilikuleta tija kwenye uongozi wako.
Tunaimani hakuna hata mmoja aliyekupa hio nafasi zaidi ya Mwenyezi Mungu (Allah) hivyo hauwiwi kumlipa mtu fadhila hapo zaidi ya kufanya HAKI na ADILI kama shukrani kwake.
Asalaam Aleykum.
Tumsifu Yesu kristo.
kweli aisey ni Bora pakae wazi kwa muda ili apate mtu sahihihakika umesema kweli tupu Baba jay'rose ,pia kwa kuongezea ingependeza hata kama kuna ulazima wa kutengua bora nafasi ikae wazi kwa muda hadi atakapojiridhisha mtu sahihi wakucover na pia kwa sasa awe makini sana na watu wanaompa ushauri na wanaofanya vetting ya teuzi(ajiridhishe vya kutosha kabla ya kuteua)
nashukuru kwa dua yako, mwenyezi Mungu akufanyie heri na kwako pia.Mkuu, umeongea kitumishi kabisa, Naamini siku moja ipo ambayo itakuwa ni Kwa ajili yako kukaa na kulisaidia Taifa lako, Mimi Naamini wewe binafsi ukipata nafasi utatenda haki na Kwa ufanisi mkubwa, Wengi ambao akili zao huruhusu ziamue Jambo Kwa kumsikiliza Mungu kwanza bila mihemko ya watu na presha zao, hufanya mkuu mno
Ubarikiwe Kwa Andiko hili mkuu, naamini Raisi wetu ataiona hii ama wasaidizi wake
hongera umetumia uhuru wako wakutoa maoni, ila naskitika sijaona mantiki ya hicho ulicho comment.Kama ni mwislamu original kwanza hiyo asallam aleykum sio salaam ya kiislam,ni neno tu lenye maana salaam kwa wote pili huruhusiwi kusema Yesu asifiwe.Waislamu hawamtambui Yesu bali Nabii Issa.Bora uandike maoni yako,mwisho uandike Ahsanteni.Tena usithubutu kuandika neno Shukrani.Binadamu Hashukuriwi kamwe,ila Shukran ni za ALLAH pekee.
Ushauri mzuri. Aangalie watu potential wa kufanya nae kazi.Kwako Mheshimiwa,