Rais Samia: Rais ni Taasisi lakini inaongozwa na mtu hivyo tunamshukuru hayati Magufuli kwa miradi mingi aliyotuachia, Mungu amlaze peponi!

Kuna watu wanamnong'oneza
Hahaha huyu mama mjin
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Dominica njema!

Source: ITV
Hahaha huyu mama bhana washauri wake au yeye mwenyewe mbovu Sana, hivi hadi Sasa izi hajajua saikolojia ya watanzania waliowengi, tatizo yeye hajui kwamba Magufuli Alikuwa anawaeleza watanzania kila kitu , et Leo anasema nimeangushiwa jumba bovu, Kweli uwezo wake kisiasa ni mdogo Sana, Et tumwombee ndugu yetu unafiki mtupu huyu
 
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Dominica njema!

Source: ITV
Pole hangaya, uongozi ni majukumu magumu. Mtangulize Mungu mbele.
 
Ukiacha chuki labda utatoa michango yenye tija
Tanzania hatujawahi kuwa na chuki kubwa kuliko ya huyu mtu.Mimi unanisingizia tu.
20211203_191444_temp.jpg
 
Back
Top Bottom