Apige marufuku biashara ya magogo. Kuna mwanasiasa mmoja wa upinzani, yule mnafki sana Sasa hivi anasafirisha malori kwa malori.
Kzz
Apige marufuku biashara ya magogo. Kuna mwanasiasa mmoja wa upinzani, yule mnafki sana Sasa hivi anasafirisha malori kwa malori.
Watakwambia kuchoma makaa ya mawe huleta athari ya hewa ya ukaa.People don't take actions. Zile pikipiki zinazoingiza mkaa kila siku mbona kama hakuna anayeona?
Tuna makaa ya mawe ambayo yanawe,a kabisa kuwa mbadala wa mkaa wa kuni. Mbona hakuna anayepigia chapuo? Gas inafaa, pengine kwa sasa ni ghali kwa walio wengi. Lazima tutafute solution. Tusisuburi mtu atoke London au New York kwenye mambo ambayo tunaweza kufanya wenyewe
Huyohuyo, hii sasa hivi ni biashara yake kubwa Sana. Sijui kwa nn serikali imemuachia kufanya biashara hii tena kuna hadi miti ambayo ilipigwa marufuku kuvunwa. Sad
Wataachaje kukata na huo ndio Mkoa umetengwa kwa ajili ya viwanda na kulisha Dar?Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti.
Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji.
Rais ameyasema hayo katika ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi ya kupikia
Without vision, people perish....sio mimi nilisema hayoWatakwambia kuchoma makaa ya mawe huleta athari ya hewa ya ukaa.
Hapa EAC, Kiwanda cha kuchakata makaa ya mawe ipo Rwanda. Katika nchi hiyo ni maruku kupikia mkaa. Nishati ya makaa ya mawe iliyochanganywa na udongo wa mfinyanzi kwa ustadi mkubwa hutumika hadi vijijini. Rwanda inachukua nishati hiyohiyo hapo Kiwira. Sisi tunahangaika na Taifa gas. Tuna matatizo gani lakini?!
Wiki hii nipo Babati mjini, malori kutoka Kenya yanakatiza hapa mamia kwa mania yakielekea Kiwira kusafirisha makaa ya mawe kwenda Kenya. Sijui kule wanafanyia nini; domestic or industrial use? Sisi mbona hatusikii issue ya makaa ya mawe yakiongelewa hata Bungeni. Hatuna shida nayo? Tuendelee kulialia ukataji miti?
Sis wana Dar tunataka majiRais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti.
Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji.
Rais ameyasema hayo katika ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi ya kupikia
Hukuelewa tu!Huko Pwani si ndio wana viwanda elfu ngapi sijui?