#COVID19 Rais Samia pamoja na juhudi zake zote bado anayokazi kubwa ya kufuta mawazo hasi juu ya chanjo ya korona iliypandikizwa na Hayati Magufuli

Ni kweli lakini chanjo ya korona ni ngumu kuikwepa labda usisafiri katika siku zako zote za maisha , mana ukitaka kutoka nje ya nchi lazima uoneshe kazi ya chanjo...
Kwa taarifa yako, mlisema tunataka chanjo ili tuende kuhiji Saudia. Wasaudia wamesema hakuna hujaji ataenda kutoka nje ya Saudia, pamoja na machanjo hayo.

Nchi za ulaya zimeweka wazi kwamba, mtu yeyote atakayechanjwa chanjo zinazopelekwa Africa, ni marufuku kukanyaga ardhi yao.
Unachotaka kusema ni nini hapa?



Kuna kitu kikubwa sana kinafichwa ndani ya hili dudu. Mtu yeyote mwenye akili ataelewa utetezi duni unaotolewa kwamba ni uwongo mtupu kwa sababu hkauna mtu aliyewahi kutoka jasho likawa sumaku.

Na ukiona kwa nini makala zinazoonyesha madhara zinafutwa haraka haraka bila kutolewa majibu na majibu yakitoka ni ya kijinga namna hii, mtu mwenye akili anapashwa kuelewa.




Haya chanjweni halafu mtakapogeuka kuwa makenge halisi, huyo mchawi wenu awe ameshakufa, kama vile alivyokufa aliyetengeneza virus wa ukimwi ndipo mtakapojua faida ya ubishi wa kijinga.
 
Back
Top Bottom