Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Mama alikuwa hana say mbele ya fisadi mkuu aliyeitia Nchi hasara ya kutisha.
Atamuke waziwazi kuwa yeye na Jabali la Afrika ni tofauti,ili tumsubiri 2025 Kama hatarudi Kojani asubuhi tu.

JPM ndo kaifanya CCM ikubalike,Hawa wengine wajaribu tu kujitenga waone.
 
Hajawai na sidhani kama hatakuja kusimama upande wa wananchi yeye mara zote usimama upande wa watendaji kazi wake na uwatetea na kuwasapoti kweli kweli..
 
JPM ndo kaifanya CCM ikubalike,Hawa wengine wajaribu tu kujitenga waone
Msema kweli mpenzi wa Mungu mimi niko na Samia,nimemuomba atupe time frame ya kuanza mchakato wa Katiba mpya ya Wananchi wa Tanzania
 
Kumbe ufisadi mkubwa ulianzia awamu ya tano ya Bwana Chato😁😁😁
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Shukrani kwa kutufahamisha.
 
Mama muda sio mrefu analivua koti la awamu ya tano maana shagundua lina matundu mengi...Mama hujachelewa lipige kiberiti halifai hiloo.
 
Hata mi naona reshuffle inakuja siku yoyote
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Mzee wa Msoga na EL mmemsikia amiri jeshi mkuu?
 
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Mama kakuta wat uwanaiba mafuta sasa anachofanya ni kuwalinda badala ya kuwapeleka mahakamani sasa hapo nani anatetea wezi ?
Tunataka kujua wale wezi wa kigamboni wamepelekwa wapi?
Na wale waliojilipa pesa kwa siku mbili mabilioni wamechukuliwa hatua gani?
Aache kujitoa kwenye hayo mambo maana alikua na madalaka ya kuwachukulia hatua akiwa makamu.
 
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Yeye hakuwa awamu ya tano?,kama haukuridhika na utendaji wa awamu ya tano mbona hakujiuzulu?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Yes kwa hili la wizi wa mali ya umma na kudhulumu wananchi kwa kutumia ofisi hizo, nakuunga mkono asilimia 100 Mama. Waweke ndani. Usiwaonee haya. Hata wawe kina nani.
Hatutafika kama wezi wanaachiwa kupeta.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Similar Discussions

Back
Top Bottom