Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu"

Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Elsewedy Electric East Africa Limited kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni

Amesisitiza kuungwa Mkono katika kuwakaribisha Wawekezaji zaidi hapa Nchini ili Ajira zipatikane na Uchumi ukue

View attachment 2034864
View attachment 2034865

View attachment 2034866
Labda wawekezaji wa mchongo kutoka nungwi,ccm awamu ya 5 ni bongo movie mpka wao wanajiogopa
 
Back
Top Bottom