Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Hakuna kiongozi anaekubaliwa au kukataliwa na watu wote, hata waziri wa ulinzi hazungumzwi kwa sababu eneo lake haligusi maisha ya watu wengi, lakini bahati mbaya nchi ikiingia vitani na nchi nyingine nae pia atalaumiwa
 
Baba wa Taifa kamaliza kila kitu uzi ufungwe sasa.
 
Sijui kwanini wanasiasa wa Bongo hususani mwendazake na huyu mrithi wake wamekuwa wanafiki, Mwendazake alidai alijaribu tu akajikuta amesukumiziwa huko lakini badala ya kuachia ngazi ndio kwanza akawa anasuka mikakati ya kung'ang'ania madaraka leo tena na huyu mrithi wake anadai kurithi urais kwa mujibu wa katiba kwake ni janga lakini ilipodaiwa kwamba hana mpango wa kugombea 2025 amekuwa mkali kama pilipili badala ya kuona hiyo ndio fursa ya kuliepuka hilo janga!
wewe nae hujui lugha za waugwana? muugwana anajua dhima ya ukuu.nae hajikwez bali anajua kuwa ni mzigo kuwaamulia mustakabal wa nchi watu aina ya kaliba kama yako.ilihali umekaa nyumban unakunyw juis wakat wenziwo hawalali wanaumiz kichwa.usifasiri lugha za waswahil kama uziskiavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Ajabu sana hawa. Ndio maana huwa tunasema wanasiasa ni Watu wanafiki nafiki TU.
 
wewe nae hujui lugha za waugwana? muugwana anajua dhima ya ukuu.nae hajikwez bali anajua kuwa ni mzigo kuwaamulia mustakabal wa nchi watu aina ya kaliba kama yako.ilihali umekaa nyumban unakunyw juis wakat wenziwo hawalali wanaumiz kichwa.usifasiri lugha za waswahil kama uziskiavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu,kajifunze tena hicho kiswahili halafu uje ueleze vizuri, kuandika tu hujui.
 
Sawa lakini awamu ijayo hatutakushika mkono tutakushika........
 
Angekataa kama ni janga kwake

79E1B313-8F0F-4EF8-9E59-B183064DFFC8.jpeg
 
Back
Top Bottom