Hakuwa amejiandaa kabisa na hiyo press hadi kupelekea kuwa na press mbovu kuwahi kutokea na haya ndiyo madhara ya kuandikiwa kila kitu angekuwa mwendazake kikeke jasho lingemtoka

Mwendazaje huyu aliyekua anakimbia waandishi wa habari?kule Uganda alivyohojiwa aliishia tu kusema ‘human rights is not my priority’ hahahahah
 
Mbunge Ni mwakilishi wa wananchi wapiga kura wake hatakiwi tu kuibuka bungeni na kuropoka Je hicho kikao Cha miamala Zungu aliongea na wapiga kura wake Kwanza?

Wananchi wa Ilala walimtuma Hilo? Alifanya nao mkutano kupata mawazo yao kwenye Hilo au aliibuka tu bungeni na bichwa lake tu na kuongea yeye Kama yeye?
Upo sahihi 100%
 
Zungu ni mwenzako wa Lumumba acha kupayuka hovyo
Mbunge Ni mwakilishi wa wananchi wapiga kura wake hatakiwi tu kuibuka bungeni na kuropoka Je hicho kikao Cha miamala Zungu aliongea na wapiga kura wake Kwanza?

Wananchi wa Ilala walimtuma Hilo? Alifanya nao mkutano kupata mawazo yao kwenye Hilo au aliibuka tu bungeni na bichwa lake tu na kuongea yeye Kama yeye?
 
Nanukuu: "Nashukuru sana Watanzania wamekubali tozo vizuri"

My take:
Tukisema hamna Rais humo muwe mnaelewa sasa.
Tena anasema na yeye Huwa anakatwa pesa akiwatimia ndugu zake .Yani yeye hajui kwamba anaishi bule Mana Kila kitu kwake ni bule ,kufikia hapo nimeamini hata nafasi aliyonayo haijui.Sasa kwa aina hii ya kiongozi nashindwa kujua hata hayo maendeleo kama kweli atayaleta.
 
Ukiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani,kodi yetu nyingi inaishia kufadhili anasa za wanasiasa na kwenye matumizi kuliko uzalishaji,haya mambo ndo utufanya tuone hizi tozo si msaada,mikanda tufunge wote watawaliwa na watawala.
Tz hakuna kiongozi mwenye vision ndo Mana mambo yako vibaya ,wapo kwa ajili ya kupiga tu
 
Baada ya kuharisha ujinga kama huu ungetuambia kwanza serikali imefanya nini kubana matumizi yake kabla hawajawakamua wananchi ambao wengi ni mafukara wa kutupwa? Kwa nini wabunge wanachukuwa malipo makubwa kulinganisha na kazi zao? Kwa nini mikoani na wilayani kuna utitiri wa viongozi wanalipwa na kutembelea magari ya bei kubwa wakati nchi yetu ni maskini?

Kwa nini viongozi wengi wanasafari first na business class kwenye ndege wakati sisi ni maskini wa kutupwa? Wewe huoni hatua ya kwanza ni serikali kupunguza kabisa matumizi yake mengi ambayo hayana ulazima? Tafakari kabla ya kuandika ujinga kama huu!
Mwambie huyo mjinga aelewe
 
Nataka kuanzisha kipindi cha televisheni mahsusi kuonyesha matumizi ya "tozo" ambazo mama amesema wanachi na wapiga kura kwa ujumla tunazikubali....
Kipindi kitaonyesha posho za vikao vya madiwani, madaraja ya miti yaliyojengwa kwa milioni 30, ziara za mafunzo ya watendaji kwenda kujivunza nishati mbadala nk..
Kipindi kizuri,ila kitafungiwa
 
Tena anasema na yeye Huwa anakatwa pesa akiwatimia ndugu zake .Yani yeye hajui kwamba anaishi bule Mana Kila kitu kwake ni bule ,kufikia hapo nimeamini hata nafasi aliyonayo haijui.Sasa kwa aina hii ya kiongozi nashindwa kujua hata hayo maendeleo kama kweli atayaleta.
Wa Zanzibar hawa jui maendeleo nini wao Wanachojua Dini Yao inakataza kufanya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena anasema na yeye Huwa anakatwa pesa akiwatimia ndugu zake .Yani yeye hajui kwamba anaishi bule Mana Kila kitu kwake ni bule ,kufikia hapo nimeamini hata nafasi aliyonayo haijui.Sasa kwa aina hii ya kiongozi nashindwa kujua hata hayo maendeleo kama kweli atayaleta.
TOZO za simu ni mbinu ya kufidia hela walizotumia kuwanunua wapinzani ili waunge juhudi.
 
Back
Top Bottom