Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Umemaliza kila kituUzuri wake apeleke kwa mumewe (sisi hautuhusu), sisi tunataka Rais anayetenda haki na kuheshimu katiba, vitu ambavyo Samia hana.
Tuna rais wa ajabu ajabu mnoo.
Umemaliza kila kituUzuri wake apeleke kwa mumewe (sisi hautuhusu), sisi tunataka Rais anayetenda haki na kuheshimu katiba, vitu ambavyo Samia hana.
Tuna rais wa ajabu ajabu mnoo.
Ni mzuri kwenye familia yakeAmewafunga wapinzani kwa kesi bambikizi
Amekataa mchakato wa katiba mpya
Anawaumiza maskini kwa tozo
Samia ni mzuri…?$;:}€¥\=‘nb!!!
Tena mtu wa hovyo snNi mtesaji tu!
Hafai kuwa kiongozi hata kidogo1. Tunataka aheshimu kiapo alichokula
2. Aheshimu katiba aliyoapa kuilinda
3. Aache kutoa kauli na maneno matupu, bali abadili sheria, zile mbaya ziwe nzuri zaidi.
4. Apandishe gemu yake ya kisiasa, badala ya kutegemea polisi ajibu hoja za wapinzani wake kwa hoja siyo kuwabambikizia kesi za ugaidi, uhujumu uchumi siyo vitu gani.
Nilivyoona tu hata kiswahili kinakushinda nikajua hapa hakuna kitu tenaSamia Ni best president, pia umesahau Askari wetu wamepanda vyeo,JW wanamkubari Sana mama kuliko wakati wowote, na watumishi wa umma pia kaboresha maslai yao,
Pole Sana,sio kila mtu amesoma kiswahiliNilivyoona tu hata kiswahili kinakushinda nikajua hapa hakuna kitu tena
SawaPole Sana,sio kila mtu amesoma kiswahili
Rais SSH anatenda haki na kuheshimu Katiba. Hilo halina mjadalaUzuri wake apeleke kwa mumewe (sisi hautuhusu), sisi tunataka Rais anayetenda haki na kuheshimu katiba, vitu ambavyo Samia hana.
Tuna rais wa ajabu ajabu mnoo.
DUNIANI KOTE HAKUNA MTU MBAYA ni Roho na Moyo ndio huwa MBAYANi ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:-
Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha,
Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika.
Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi kutowabambikizia watu kesi.
Anajali maslahi ya watumishi mfano madaraja yamepandishwa sasa kila mtumishi kimya.
Nadhani hata kesi ya Mbowe hapendi iwepo ila kwakua imeishatokea ameacha sheria ifuate mkondo wake.
Ni mtu mkweli mfano aliiambia tume ya uchaguzi namna ilivyo shughulikia upinzani uchaguzi ulopita na ijirekebishe.
Nina imani na Rais Samia kazi iendelee
Anafaa yupiHafai kuwa kiongozi hata kidogo
Exactly,Rais SSH anatenda haki na kuheshimu Katiba. Hilo halina mjadala
Usikunje uso wako na moyo wako wakati wote unapofikiri kuhusu jambo fulani. Be very Objective and balancedUzuri wake apeleke kwa mumewe (sisi hautuhusu), sisi tunataka Rais anayetenda haki na kuheshimu katiba, vitu ambavyo Samia hana.
Tuna rais wa ajabu ajabu mnoo.