Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,957
2,000
1. Tunataka aheshimu kiapo alichokula

2. Aheshimu katiba aliyoapa kuilinda

3. Aache kutoa kauli na maneno matupu, bali abadili sheria, zile mbaya ziwe nzuri zaidi.

4. Apandishe gemu yake ya kisiasa, badala ya kutegemea polisi ajibu hoja za wapinzani wake kwa hoja siyo kuwabambikizia kesi za ugaidi, uhujumu uchumi siyo vitu gani.
Hafai kuwa kiongozi hata kidogo
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,957
2,000
Samia Ni best president, pia umesahau Askari wetu wamepanda vyeo,JW wanamkubari Sana mama kuliko wakati wowote, na watumishi wa umma pia kaboresha maslai yao,
Nilivyoona tu hata kiswahili kinakushinda nikajua hapa hakuna kitu tena
 

omie classic

New Member
Aug 2, 2013
2
45
tenda mazuri 100 kwa binadam ila ukitenda moja baya linaharibu 100 yote ya mwanzo. Swala la tozo halikutakiwa kuwepo from the start na mfumuko wa bei nao it's another issue unmanaged
 

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,359
2,000
Uzuri wake apeleke kwa mumewe (sisi hautuhusu), sisi tunataka Rais anayetenda haki na kuheshimu katiba, vitu ambavyo Samia hana.

Tuna rais wa ajabu ajabu mnoo.
Rais SSH anatenda haki na kuheshimu Katiba. Hilo halina mjadala
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,550
2,000
Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:-

Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha,

Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika.

Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi kutowabambikizia watu kesi.

Anajali maslahi ya watumishi mfano madaraja yamepandishwa sasa kila mtumishi kimya.

Nadhani hata kesi ya Mbowe hapendi iwepo ila kwakua imeishatokea ameacha sheria ifuate mkondo wake.

Ni mtu mkweli mfano aliiambia tume ya uchaguzi namna ilivyo shughulikia upinzani uchaguzi ulopita na ijirekebishe.

Nina imani na Rais Samia kazi iendelee
DUNIANI KOTE HAKUNA MTU MBAYA ni Roho na Moyo ndio huwa MBAYA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom