Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Mkuu mapessa, nimekubali, naunga mkono hoja Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki TanzaniaTangu alipokamata madaraka mapema mwezi Machi Mwaka huu Mhe. Samia Suluhu hassan amesimama kama alama ya historia mpya katika siasa za Afrika mashariki.
Rais Samia ni Kiongozi anayesimamia sheria haki, kanuni na utaratibu bila uwoga wala ubaguzi.
kupaa zaidi.
Samia ni wa tofauti vizazi mtamsoma miaka mingi zaidi kwa jina lake na sifa zake kwa utendaji wake uliotukuka!
P