Rais Samia Ndiye Atakayeleta Mabadiliko

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,183
7,645
Kwa ufupi ni kwamba wanaomchukia Samia sasa, ndio watakaompenda zaidi. Samia amechukua uongozi katika muda ambao hakutegemea lakini akiwa na uelewa mkubwa wa mabaya yote ya awamu iliyopita ambayo aliitumikia akiwa hana mamlaka.

Kuingia kwake kwenye Urais kwa ghafla, huku mfumo mzima wa utawala ukiwa wa mtangulizi wake, yalikuwa mazingira magumu kwake ya kutenda kazi, huku wale wafuasi wa mfumo gandamizi na wa kikatili wa awamu iliyotangulia, wakitumia fursa ya ugeni wa Samia katika Urais kupitia mfumo uliotengenezwa na mtangulizi wake, kumlazimisha atende kwa kadiri wao wanavyotaka. Kwa muda fulani ilimlazimu kukubaliana na hali. Taratibu ameendelea kujiweka sawa. Na ndiyo ile kauli yake kuwa aliwaacha, huku akiwasoma. Taratibu mfumo ule katili unapukutishwa, ili kuleta utawala wa kistaarabu, maana primitive leadership haina nafasi katika Ulimwengu wa watu waliostaarabika.

Tukio pekee lililopunguza mapenzi ya watu kwa Rais Samia ni kukamatwa kwa Mbowe na kisha kumtafutia mashtaka ya ugaidi, wengi wakiamini kuwa ni maelekezo ya Rais. Lakini ukweli utadhihiri baada ya hukumu. Kuna watu walimdanganya Rais juu ya tuhuma za Mbowe, kuna watu walimdanganya IGP.

Hatua atakazochukua Rais Samia dhidi ya waliotengeneza tuhuma, ndizo zitakazowafanya watu watambue kama kukamatwa na kumshtaki Mbowe kwa kesi ya kutengeneza, yalikuwa ni maelekezo ya Rais au kuna watu katikati hapo, ndio chanzo cha uharibifu wa Taifa letu. Hatua hizo ndizo zitakazowafanya waliomchukia kwaajili ya kukamatwa Mbowe, watambue ugumu anaoupitia Rais katika kuiondoa nchi hii kutoka kwenye utawala wa dhuluma na kuipeleka kwenye utawala wa haki.

Pamoja na yote, ni Samia ndiye atakayeleta mabadiliko makubwa ya mifumo ya kiutawala - katiba mpya & tume huru ya uchaguzi.

Samia mwaka 2025 anataka awe Rais wa kupigiwa kura na siyo wa kuiba kura, japo kwa mfumo uliokuwepo, hakuwa na namna, amerithi nafasi ya Urais kutokana na uchaguzi bandia. LAKINI TUTAMBUE KUWA HATA KATIKA UBAYA, MEMA HUZALIWA.

Ombi: Tumkosoe Samia kwa tahadhari na ustaarabu. Tutambue kuwa kuna lile kundi primitive linaendelea kumpinga chinichini. Tusimfanye akakata tamaa kwa kuona hakuna wanaoona mema anayoyafanya.

Kwa sasa kauli yake kuwa mahakama imalize mashauri haraka na kwa haki, ni namna mojawapo ya kuitaka mahakama ifikie tamati ya shauri la Mbowe. Samia ni Rais kutoka CCM, chama cha marehemu, Samia hajaingia kwa mapinduzi, hivyo mabadiliko anayoyafanya hayawezi kuwa ya ghafla.

Tumwombee hekima Rais Samia maana hekima ya kiongozi ni faraja ya waongozwa, kichaa cha mtawala ni majuto ya wanaoongozwa naye.
 
Kitu pekee ambacho Mpaka Sasa huyo mama yenu amekifanikisha na hata kunifurahisha na Mimi,Ni Kifungo Cha Miaka 30 na viboko juu alichopatiwa Mtoto wa Malaika Mkuu (SABAYA). Hayo Mengine Ni Porojo tupu za kutafuta uteuzi bila Mafanikio.
 
Walimdanga eti akimfunga mbowe, ndo 2025 atapita bila kupingwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Samia atawashangaza wanaomuona viatu havimtoshi. Ukifanya tafakuri ya kina ya maisha yake utabaini kwamba ni mtu mwenye NIDHAMU ya juu sana ya maisha. Aghalabu wenye NIDHAMU ya juu popote pale ndio huwa na mafanikio ya kupigiwa mfano na ya muda mrefu. Nazungumzia NIDHAMU kama NIDHAMU. Siyo sycophancy.
 
Inawezekana ila awe mkali Sana kwa watendaji wake maana utawala wa Magufuli bado unaongoza Nchi kwa 60%

Ndio maana alishindwa hata kuvunja baraza la mawaziri.

Awe na falsafa zake za utawala yaani mixed economy sio Mambo ya ubepari wa Kikwete au Ujima wa Magufuli.

Ila akiweza kwenye democracy, Ufisadi na kukuza uchumi wa watu atachaguliwa Tena 2025.
 
Shauri la Mbowe limewakalia vibaya hivyo hawana jinsi na sio kwamba hawakujua kilichokuwa kinaendelea.

Acha unafiki.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kitu pekee ambacho Mpaka Sasa huyo mama yenu amekifanikisha na hata kunifurahisha na Mimi,Ni Kifungo Cha Miaka 30 na viboko juu alichopatiwa Mtoto wa Malaika Mkuu (SABAYA). Hayo Mengine Ni Porojo tupu za kutafuta uteuzi bila Mafanikio.
Unamaanisha natarajia siku moja Samia atasema amemteua Hamatan au Gentamycin, au Sexless?
 
Hizo sifu sifu zenu zilishapitwa na wakati,Hakuna teuzi za bure Tena. TAFUTENI kazi halali Mfanye ili Mjiongezee kipato FULL STOP.
 
Siku hizi Rais anateua kupitia hizi ID faje za humu JF? Sijui mnaoota teuzi. Wengine tulikwishaamua kuwa mlengo tofauti wa maisha, siyo kutegemea uteuzi kwa sababu mimi mwenyewe nilikwishayateua maisha yangu.
 
Sasa hizo hekaya za kusifu wake za Watu(Mama Samia) umezitoa wapi Kama Sio Kunyemelea teuzi?
 
Back
Top Bottom