Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

Weka hiyo tweet yake ya jana tuone hapa
Niliona Jana kwenye page ya ikulu mawasiliano asubuhi kuhusu kutakia watanzania sikukuu njema, hata Dr Mipango naye alipost hyo jana asubuhi.
Hafu sioni kupost au kutokupost kuwa ni big issue Hadi watu mshupalie hivo
 
Kwa nini basi mnaogopa KATIBA mpya,bora?
Wapinzani hawana jema, hata ikipatikana katiba mpya na tume huru bado mkishindwa mtalalamika tu. Marekani wana tume huru, mahakama huru na katiba yenye kukidhi vigezo vyao, lkn Trump aliposhindwa alilalamika kuibiwa kura. Kwahiyo swala la kulalamika kwa mshindwaji ni la kawaida. Hata ukichukua vifungu vya qurani na biblia kuvifanya kuwa katiba, bado watu watalalamika tu kama wanavyolalamika baadhi ya wafuasi wa chadema kuhusu muundo wa katiba yao iliyoondoa ukomo wa mwenyekiti kutawala kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
 
Nimeamini hawa Viongozi husoma JF kwa hakika.

Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Usijipe umuhimu huo!
 
Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.

Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
Huu mchezo utawachota wanaofanya mchezo kama wewe! Au wale wanaosukumwa na msukumo unaoupenyeza na unafanya hivi ili kutwaa mafanikio ya malengo yako. Lakini tambua mchezo unaoucheza ni wa hatari sana!
 
Wapinzani hawana jema, hata ikipatikana katiba mpya na tume huru bado mkishindwa mtalalamika tu. Marekani wana tume huru, mahakama huru na katiba yenye kukidhi vigezo vyao, lkn Trump aliposhindwa alilalamika kuibiwa kura. Kwahiyo swala la kulalamika kwa mshindwaji ni la kawaida. Hata ukichukua vifungu vya qurani na biblia kuvifanya kuwa katiba, bado watu watalalamika tu kama wanavyolalamika baadhi ya wafuasi wa chadema kuhusu muundo wa katiba yao iliyoondoa ukomo wa mwenyekiti kutawala kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
Ndugu yangu,
Kinachotakiwa ni NCHI kuwa na misingi IMARA ya kutoa haki na kutenda kwa usawa kwa wote, popote na wakati wote ili kuondoa ukandamizaji, unyanyasaji na ubabaishaji uliyopo. Katiba Bora/Mpya ndio dawa yenye tiba imara.
PIA Mwananchi/Chama chochote kuonyesha kutoridhika na matokeo ya kura wala mawazo/mitizamo yake/yao kutofautiana hata na ya Uongozi wa nchi, KAMWE sio kosa wala si dhambi kama maCCM mnavyojitahidi kuaminisha. Mkiacha kuabudu watu mtaanza kuelewa.
 
Nimeamini hawa Viongozi husoma JF kwa hakika.

Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Tutakuwa wamoja ikiwa:-
Atafuta tozo za miamala ya simu.
Ataanzisha mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Atafutia watu kesi za kubumba zinazoendelea kutesa watu magerezani.
Ataruhusu vyama vya siasa kufanya siasa kama ccm wanavyofanya.

La sivyo yatabaki maneno tu.
 
Ndugu yangu,
Kinachotakiwa ni NCHI kuwa na misingi IMARA ya kutoa haki na kutenda kwa usawa kwa wote, popote na wakati wote ili kuondoa ukandamizaji, unyanyasaji na ubabaishaji uliyopo. Katiba Bora/Mpya ndio dawa yenye tiba imara.
PIA Mwananchi/Chama chochote kuonyesha kutoridhika na matokeo ya kura wala mawazo/mitizamo yake/yao kutofautiana hata na ya Uongozi wa nchi, KAMWE sio kosa wala si dhambi kama maCCM mnavyojitahidi kuaminisha. Mkiacha kuabudu watu mtaanza kuelewa.
Mkuu.. haki na usawa vipo kwa kila mtanzania, isipokuwa kuna wale ambao wakienda kinyume na sheria wakiguswa au kuwajibishwa wanakimbilia kulalamika kuwa hawatendewi haki ili ionekane kuwa wanaonewa, na wakati ki uhalisia hawaonewi. Kwa siasa za Tanzania ya sasa hata ukitengeneza katiba kupitia vitabu vitukufu vya Mungu kama vile Qurani na Bible, bado watatokea wanasiasa ambao watakwambia kuwa katiba hiyo ina mapungufu makubwa, ukija kuchunguza mapungu wanayozungumzia utagundua kuwa ni sababu katiba husika imebeba masilahi ya taifa na sio masilahi yao binafsi ndio maana wanalalamika. Ila wenye akili hatushangai kwa sababu tunajua tabia na mienendo ya wanasiasa wetu. Kwa siasa za Tanzania jinsi zilivyo hata akija Yesu au Muhamad kutawala bado atapigwa vita tu na wale ambao wataona anagusa masilahi yao hata kama kugusa huko ni kwa mujibu wa sheria. Afu katiba sio msahafu au biblia, nikiwa na maana kuwa leo tunaweza kupoteza mamilioni ya shilling kutengeneza mpya afu ukashangaa kesho Mbowe na genge lake wanaingia ikulu na kutumia tena mamilioni yetu ya kodi kuibadilisha kwa kutoa kifungu cha ukomo wa kukaa madarakani kama alivyofanya kwenye chama chake ili atawale milele yeye na genge lake. So ni vizur katiba ibaki kama ilivyo ili hizo hela ambazo zingetumika kutengeneza katiba zitume kuongeza shule za msingi, sekondari na vyuo, pia zitumike kusambaza maji na umeme vijijini, zijenge barabara, zahanati, hospital na vituo vya polisi maeneo mbali mbali ya nchi. Anaetaka katiba mpya aiweke katika ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2025. Sisi wengine hatutaki kutumiwa kama daraja na wanasiasa ambao siku zote wanaangalia masilahi yao na ya familia zao, huku sisi wakitutumia kama kichochoro cha kupatia ushindi wa kura nk.

images (26).jpeg
 
ukija kuchunguza mapungu wanayozungumzia utagundua kuwa ni sababu katiba husika imebeba masilahi ya taifa na sio masilahi yao binafsi ndio maana wanalalamika.
Ndugu yangu,
Sio siri kuwa katiba iliyopo ndio inayotukusanyia 'miungu watu' wanaosumbua TAIFA hili. Unachofanya ni kujitoa fahamu sijui kwa faida ya nani. Wenzio twaenda mbele tumechoka na udhalimu, ubaguzi, unyanyasaji, wizi wa kura.......... unaoendelea.
KATIBA BORA ni haki yetu twaitaka na tutaipata karibuni. Wewe na wa aina yako hamna njia ya kuizuia.
 
Bila shaka ww ni mmoja wa hawa wanasiasa "masilahi" mnaotumia ujinga wa baadhi ya vijana, na wazee wasiojitambua kama daraja la kufikia mafanikio yenu ya kisiasa kwa faida zenu na familia zenu. Endelea kupiga porojo mitandaoni labda utafanikiwa kupata wajinga wawili watatu wakusaidie kufikia malengo yako/yenu.
 
Nimeamini hawa Viongozi husoma JF kwa hakika.

Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Bibi yule anatamani angezaliwa mwarabu au enzi za khalifa abu bakr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom