Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Dah nguvu zimeniishia! Kama hayo ma design ya karne ya 19 ndio Kodi zetu zinaenda nunua! Moyo wangu hauna amani kabisa! Nilikuwa na matumaini makubwa sana! Kuona vitu vya kisasa Kama kule China, Europe! Mtoa mada nimekata tamaa kama wewe!
Dada kasema pesa kidogo. Na miradi mingi sana. Dada bwana...
 
Mwambie dada kuwa wafanya biashara sio watu wa kuwachekea na kuwanyenyekea. Mfanya biashara yeyote yule hataki kulipa kodi. Na ndiyo maana wakina Bezos na matajiri wengine wanaziacha products zao ziwe manufactured Asia na kwingine kwenye unafuu wa kodi na Mishahara kuliko Amerika na Europe.
 
Mkali kuliko marehemu KAKA. Shauri yako
 
Back
Top Bottom